Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Leo Disemba 19 2023, Unapigwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Athletic Club majira ya Saa 10 Jioni. Mpenja Tv tunakuletea mfululizo wa matukio yote muhimu kabla na hata baada ya Mechi hiyo.
Ligi Kuu ya NBC inaendelea katika Dimba la Azam Complex Chamazi ambapo Yanga SC anamkaribisha Mtibwa Sugar katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Saa 12 na Nusu Jioni. Mpenja Tv tunakuletea matukio yote Muhimu Kabla na Baada ya Mchezo huo.
Azam FC wamecheza Mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan,katika Uwanja wa Azam Complex chamazi. Mchezo huo umemalizika kwa sare ya 1-1.
Ligi Kuu ya NBC imeendelea Leo 11/12/2023, katika Dimba la Azam Complex Chamazi, na kushuhudia Azam FC alipata ushindi wa Goli 2-1 dhidi ya JKT Tanzania.
Baada ya Simba SC kupoteza mchezo dhidi ya Wydad Casablanca katika Dimba la Marrakech nchini Morocco, Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Haya ni maoni ya Mashabiki walikuwa wakitizama mchezo huo kupitia Runinga.
Tathmini yakinifu kutoka kwa Ghalib Mzinga Mchambuzi na Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, Naada mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Medeama SC dhidi ya Yanga SC, huku Timu hizi zikilazimishana sare ya Mabao ya 1-1.
Tathmini yakinifu kutoka kwa Ghalib Mzinga Mchambuzi na Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Wydad Athletic Club dhidi ya Simba SC. Mzinga anaamini utakuwa ni mchezo mgumu licha ya Wydad kuonekana hajaanza vyema katika Michezo yake ya awali.
Leo Februari 19 2023,Yanga SC anamkaribisha TP MAZEMBE kutoka DRC CONGO Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye ...

Maoni ya Mashabiki wa Simba baada ya Kupoteza kwa Magoli 3-0 dhidi ya Raja Casablanca,Mchezo wa Jana wa Hatua ya ...
Leo Februari 18 2023,Simba SC anamkaribisha Raja Casablanca kutoka Morocco kwenye Dimba la Benjamin Mkapa ...

Leo ndio Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ikichezwa Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Raja ...