MZINGA:''YANGA BADO WANANAFASI NYINGINE/SIMBA SIO GOIGOI/WALIMILIKI MPIRA KWA ASILIMIA NYINGI. by @Mpenja TV - Post Details

MZINGA:''YANGA BADO WANANAFASI NYINGINE/SIMBA SIO GOIGOI/WALIMILIKI MPIRA KWA ASILIMIA NYINGI.

Tathmini yakinifu kutoka kwa Ghalib Mzinga Mchambuzi na Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, Naada mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Medeama SC dhidi ya Yanga SC, huku Timu hizi zikilazimishana sare ya Mabao ya 1-1.

Similar Posts!