MZARAMO: NIMEANZA KUPUMUA SASA/WYDAD KWA MKAPA ANAKUFA/HUYU BENCHIKHA ANABALAA/AYOUB LAKRED.. by @Mpenja TV - Post Details

MZARAMO: NIMEANZA KUPUMUA SASA/WYDAD KWA MKAPA ANAKUFA/HUYU BENCHIKHA ANABALAA/AYOUB LAKRED..

Baada ya Simba SC kupoteza mchezo dhidi ya Wydad Casablanca katika Dimba la Marrakech nchini Morocco, Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Haya ni maoni ya Mashabiki walikuwa wakitizama mchezo huo kupitia Runinga.

Similar Posts!

ALLY KAMWE" NI TAISHANGILIA SIMBA NA AZAM KWA MARA YA KWANZA/ENG HERSI KAJA NA VITU VIZITO KU
ALLY KAMWE" NI TAISHANGILIA SIMBA NA AZAM KWA MARA YA KWANZA/ENG HERSI KAJA NA VITU VIZITO KU

Leo May 08,2024 katika uwanja wa Azam complex kutachezwa mchezo mmoja wa NBC PREMIER LEAGUE ambao utazikutanisha Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar



ALLY KAMWE"JOBE NI HAALAND MTUPU/ANA MIKIMBIO NA MIDONDOKO/NIMEPENDEKEZA MSIMU UJAO AJE YANGA
ALLY KAMWE"JOBE NI HAALAND MTUPU/ANA MIKIMBIO NA MIDONDOKO/NIMEPENDEKEZA MSIMU UJAO AJE YANGA

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.