MZINGA: WYDAD CASABLANCA HAYUPO UNGA/SIMBA WAJICHUNGE SANA/CHAMA,BALEKE,ONANA WANAPASWA KUWA FITI... by @Mpenja TV - Post Details

MZINGA: WYDAD CASABLANCA HAYUPO UNGA/SIMBA WAJICHUNGE SANA/CHAMA,BALEKE,ONANA WANAPASWA KUWA FITI...

Tathmini yakinifu kutoka kwa Ghalib Mzinga Mchambuzi na Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Wydad Athletic Club dhidi ya Simba SC. Mzinga anaamini utakuwa ni mchezo mgumu licha ya Wydad kuonekana hajaanza vyema katika Michezo yake ya awali.

Similar Posts!