Ligi Kuu ya NBC imeendelea Leo 11/12/2023, katika Dimba la Azam Complex Chamazi, na kushuhudia Azam FC alipata ushindi wa Goli 2-1 dhidi ya JKT Tanzania.
Leo Aprili 13,2024 Wajukuu wa Mbogo maji Ihefu SC wanamualika Mnyama Simba SC katika Uwanja wa CCM LITI Singida kumenyana mchezo wa ligi kuu ya NBC,Saa 10:00 jioni.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amewasili Dodoma kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB,utakaochezwa Saa 2:00 usiku,Uwanja wa Jamhuri.