ALLY KAMWE AWAKA BAADA YA USHINDI/WALITUMA NGALAWA WAKAMKOSA/AMPA MAUA SKUDU/YANGA HATA MIMI NACHEZA
Ligi Kuu ya NBC inaendelea katika Dimba la Azam Complex Chamazi ambapo Yanga SC anamkaribisha Mtibwa Sugar katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Saa 12 na Nusu Jioni.
Mpenja Tv tunakuletea matukio yote Muhimu Kabla na Baada ya Mchezo huo.