KOCHA SIMBA "ILIKUA LAZIMA Tushinde TULIPOTEZA Mechi Iliyopita na YANGA" USHINDI wa mabao 4-1 ambao wamepata Simba leo, Julai 12 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali wa Kombe la Shirikisho unawapa nafasi ya kukutana na Namungo FC kwenye mchezo wa fainali unaotarajiwa kuchezwa Agosti 2, Sumbawanga. Simba iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck imepata ushindi huo kupitia kwa Gerson Fraga dakika 21, Clatous Chama dakika ya 50, Luis Miqussone dakika ya 52 na Mzamiru Yassin dakika 88. Yanga ilipata bao la kufuta machozi dakika ya 70 kupitia kwa Feisal Salum aliyepiga shuti lililomshinda Aishi Manula mlinda mlango namba moja wa Simba. Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery ilikuwa ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa bao 1-0 mbele ya Sahare All Stars. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga ulikuwa na ushindani mkubwa na bao lilipatikana kipindi cha pili kupitia kwa Edward Manyanya. Luis Miqussone, kiungo wa Simba amesema kuwa ushindi walioupata ni zawadi kwa mashabiki pamoja na uongozi kiujumla.⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Kumbwa ni story ya Yanga kumpiga Mwadui 1-0 mjini Shinyanga pamoja na maandalizi ya mechi za kesho Simba vs Ruvu Shooting pamoja na Azam vs Mbao FC. Pia utaona kilichotokea Mkwakwani Jijini Tanga, Coastal Union ikitoka sare ya 2-2 na Namungo FC. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mwamuzi kiboko wa Yanga, Martin Saanya amekabidhiwa kuchezesha mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba Jumapili Machi 8, ijayo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga wamekuwa na bahati mbaya na mwamuzi Saanya tangu alipoanza kuchezesha Ligi Kuu Tanzania Bara mara kadhaa wamekuwa wakikwaruzana kutonaka na matukio ya uwanjani. Mwamuzi Saanya mwaka 2009 alikuwa wa akiba wakati Yanga ilipotoka sare na Simba, lakini mwaka 2013 Simba ilipolala mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa ndiye aliyechezesha. Hata hivyo, Saanya aliingia kwenye mzozo na Yanga baada ya kutoa penalti kwa Coastal Union kwenye dakika za lala salama na mechi kumalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye msimu wa 2012/13, jambo ambalo liliifanya Yanga kumchukia na kukosa imani naye. Saanya alifungiwa na Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) mwaka mzima kwa kushindwa kumudu mechi hiyo ambayo ilisababisha mashabiki wa Yanga kuharibu mali za Uwanja wa Mkwakwani pamoja na basi la Coastal Union. Kabla ya mchezo huo, mwamuzi huyo alikuwa akituhumiwa na mashabiki wa Yanga kwamba aliibeba Simba kwenye mechi ya hisani dhidi ya Azam. Simba ilishinda mabao 3-2 huku Azam wakidai kunyimwa penalti mbili za wazi. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Timu ya Coastal Union imechapwa mabao 2-1 na Ruvu Shooting mchezo wa ligi kuu Tanzania, kwenye uwanja wake wa nyumbani, wa Mkwakwani Jijini Tanga. Magoli ya Ruvu yamefungwa na Sadat Mohamed pamoja na Graham Naftari wakati Coastal goli lake likifungwa na Mudathir Said. Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media&hl=en_US Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Simba SC yaibwaga Coastal Union kwenye dimba lake la Mkwakwani na Yanga SC walizwa na Mtibwa Sugar Morogoro. Kesho ni zamu ya Azam FC dhidi ya Ndanda mkoani Tabora. Kwa hayo na mengine mengi ya kimichezo ungana na Ahmed Ally ndani ya Mshikemshike Viwanjani.
Baada ya Yanga kuchapwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar,nahodha wa timu hiyiop Ibrahim Ajib amewatupia lawama waamuzi kuwa wamekuwa hawaitendei haki timu yao katika mechi nyingi za Ligi Kuu Bara. Bao la Riphat Khamis dakika ya 52 lilitosha kuipa ushindi Mtibwa Sugar na kuendeleza rekodi yao bora inapocheza nyumbani kwani katika michezo mitano mfululizo iliyopita iliyocheza Morogoro imeshinda yote. Kukataliwa kwa bao lililofungwa na Amissi Tambwe dakika ya 89 ndiko kulisababisha Ajib kutoa ya moyoni ukuhusu waamuzi kuwa wamekuwa hawatendi haki licha ya wachezaji kupambana sana uwanjani kutafuta matokeo. Mwamuzi Hans Mabena wa Tanga alikataa bao hilo baada ya kumuangalia mwamuzi wa pembeni ambaye alinyoosha kibendera kuashiriki mfungaji alikuwa ameotea. "Waamuzi hawachezeshi kwa haki kwani huwa hawako upande wetu mechi nyingi. Kwani tunajitahidi kwa uwezo wetu lakini inaumiza unapambana sana lakini anatokea mwingine anakurudisha nyuma"alisema. Ajib amesema wataendela kupambana katika michezo iliyobaki kwani licha ya wapinzani wao Simba ambao wanawafuukuza wana mechi nyingi hivyo lolote. Kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Meddie Kagere amefunga mabao mawili na kuikoa timu yake isipate kipigo kutoka kwa Coastal Union. Simba ilijikuta ikishangazwa dakika ya kwanza tu baada ya Raizin Hafidhi kuifungia Coastal Union bao kutokana na beki Erasto Nyoni kujichanganya na kipa wake Aishi Manula katika kuokoa mpira huo. Kagere aliisawazishia Simba bao kwa penalti dakika ya 48, penalti iliyotokana na Emmanuel Okwi kuangushwa na kipa wa Coastal Union Sudi Mohammed. Dakika ya 68 Kagere aliipata Simba bao la pili kwa shuti kali akimalizia pasi ya Clatous Chama hivyo kufikisha mabao 16 kwenye ligi na kumfikia kinara Salum Aiyee wa Mwadui FC huku akimzidi bao moja Heritier Makambo wa Yanga mwenye mabao 15.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea wimbi la ushindi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Coastal Union mabao 2-1 kwenye Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga. Wenyeji Coastal ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kuchanganyana na kipa wake Aishi Manula kuchanganyana. Dakika ya 48 Simba walipata penati baada ya Emmanuel Okwi kuangushwa ndani ya 18 na kipa wa Coastal Union, penati ambayo ilifungwa na Meddie Kagere ambaye pia aliifungia Simba bao la pili dakika ya 68. Matokeo hayo yanaifanya Simba iendelee kujiimarisha kwenye nafasi yake ya tatu ikifikisha pointi 60 huku Coastal Union wakiwa nafasi ya nane na pointi 41.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea wimbi la ushindi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Coastal Union mabao 2-1 kwenye Dimba la Mkwakwani Jijini Tanga. Wenyeji Coastal ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kuchanganyana na kipa wake Aishi Manula kuchanganyana. Dakika ya 48 Simba walipata penati baada ya Emmanuel Okwi kuangushwa ndani ya 18 na kipa wa Coastal Union, penati ambayo ilifungwa na Meddie Kagere ambaye pia aliifungia Simba bao la pili dakika ya 68. Matokeo hayo yanaifanya Simba iendelee kujiimarisha kwenye nafasi yake ya tatu ikifikisha pointi 60 huku Coastal Union wakiwa nafasi ya nane na pointi 41.