Tazama namna Azam FC ilivyoziacha pointi tatu za VPL baada ya kuchapwa mabao 2-1 kwenye dimba la Mkwakwani Tanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama magoli yote Coastal Union ivyoichabanga 2-1 Azam FC, dimbani Mkwakwani jijini Tanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
🔴#LIVE: COASTAL UNION vs AZAM FC ( 2 - 1 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MKWAKWANI.. NI mchezo wa ligi kuu bara mzunguko wa pili, kati ya COASTAL UNION vs AZAM FC, umechezwa leo Februari 11, katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Azam kufungwa mabao ( 2- 1)... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Ikiwa katika dimba la Mkwakwani Tanga, Coastal Union imevutwa shati na Gwambina FC ya jijini Mwanza kwenye mchezo wa VPL raundi ya nane uliomalizika kwa sare ya 1-1. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
MASHABIKI SIMBA "TULIJUA Yatatokea Matokeo Haya /TUNA Imani na Simba" MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Coastal Union na Simba uliochezwa leo, Julai 23 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu bila kufungana ndani ya dakika 90. Coastal Union inayonolewa na Juma Mgunda ililiandama lango la Simba kipindi cha pili kwa kumtumia mtupiaji wao namba moja Ayoub Lyanga mwenye mabao nane ndani ya ligi ila mikono ya Beno Kakolanya iliokoa hatari zake. Simba inayonolewa na Sven Vandenbroeck ilikuwa ikifanya mashambulizi kwa kumtumia Meddie Kagere na John Bocco mambo yalikuwa magumu kwao. Bocco alitolewa kipindi cha pili nafasi yake ikachukuliwa na Clatous Chama na Miraj Athuman alitolewa ia nafasi yake ikachukuliwa na Deo Kanda ila ngome ya Coastal Union chini ya Bakari Nondo ilibaki kuwa imara. Pascal Wawa alionyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa leo baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano hivyo Simba ilimaliza dakika tisini ikiwa na wachezaji 10 baada ya beki huyo wa kigeni kutolewa dakika ya 75. Atakuwa akiwashuhudia wenzake kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Polisi Tanzania, Ushirika, Moshi. Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha pointi 85 baada ya kucheza mechi 37, Coastal Union inafikisha jumla ya pointi 53 zote zinauhakika wa kubaki ndani ya ligi. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Mechi tano za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) zimechezwa leo, kubwa ikiwa ni Coastal Union vs Simba kwenye Uwanja wa Mkwakwani, itakayokuwa mbashara #AzamSportsHD. Wachambuzi wetu Ally Kamwe na Michael Johnson wako na Patrick Nyembera baada michezo hiyo. Mechi nyingine za leo ni Alliance va Ndanda itakayokuwa mbashara #AzamSports2, Lipuli vs Ruvu, Polisi vs JKT na Azam vs Mbeya City saa 1:00 usiku. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
MANARA AWAVAA YANGA "MTAJUTA KUNIJUA" USHINDI wa mabao 4-1 ambao wamepata Simba leo, Julai 12 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali wa Kombe la Shirikisho unawapa nafasi ya kukutana na Namungo FC kwenye mchezo wa fainali unaotarajiwa kuchezwa Agosti 2, Sumbawanga. Simba iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck imepata ushindi huo kupitia kwa Gerson Fraga dakika 21, Clatous Chama dakika ya 50, Luis Miqussone dakika ya 52 na Mzamiru Yassin dakika 88. Yanga ilipata bao la kufuta machozi dakika ya 70 kupitia kwa Feisal Salum aliyepiga shuti lililomshinda Aishi Manula mlinda mlango namba moja wa Simba. Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery ilikuwa ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa bao 1-0 mbele ya Sahare All Stars. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga ulikuwa na ushindani mkubwa na bao lilipatikana kipindi cha pili kupitia kwa Edward Manyanya. Luis Miqussone, kiungo wa Simba amesema kuwa ushindi walioupata ni zawadi kwa mashabiki pamoja na uongozi kiujumla. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline