Simba Sc vs Coastal Union leo
Simba Sc vs Coastal Union leo

Kikosi Cha Simba Sc vs Coastal Union leo Penati ya Meddie Kahere iliyoipa Simba bao la kwanza. FT: Coastal Union 1-2 Simba SC. #TanzaniaPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #SisiNiSoka #AzamTVApp #Mkwakwani #SimbaSC #CoastalUnion #CoastalSimba #AzamSportsHD #officialcoastalunion_tanga #simbasctanzania #alwaatanngoda #jimmysteiger31



FT LIGI KUU : COASTAL UNION 1-2 SIMBA, MKWAKWANI TANGA
FT LIGI KUU : COASTAL UNION 1-2 SIMBA, MKWAKWANI TANGA

Gooooal Raizin Hafidh dk ya 01 Coastal Union Gooooool Kagere dk ya 49 Simba Goooooool Kagere dk ya 67 Simba MCHEZO wa ligi kuu kati ya #CoastalUnion ya Tanga na Simba unaochezwa uwanja wa Mkwakwani kwa sasa umekamilika. Coastal Union wametangulia kupachika bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Raizin Hafidh dk ya kwanza baada ya beki wa Simba Erasto Nyoni kujichanganya na mlinda mlango Manula. Kipindi cha pili dakika ya 49 Meddie Kagere anasawazisha bao kwa mkwaju wa penalti. Kagere anaandika bao la pili wa Simba dakika ya 67 akimalizia pasi ya Clatous Chama Hili linakuwa ni bao la sita kwa mlinda mlango Aish Manula kutunguliwa ndani ya ligi kuu #CoastalUnion #Simba #LigiKuuTanzaniaBara #MK14



DAH! NYOTA HAWA WA SIMBA KUIKOSA COASTAL UNION LEO
DAH! NYOTA HAWA WA SIMBA KUIKOSA COASTAL UNION LEO

Leo Simba itakuwa kibaruani kumenyana na Coastal Union mchezo wa ligi kuu Uwanja wa Mkwakwani huku ikitarajiwa kuwakosa nyota wake wawili ambao wanasumbuliwa na majeruhi. #Wawa #Murshid #Simba #DreamOnlineTv



MSHIKEMSHIKE VIWANJANI   -    AZAM TV    16/4/2019
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 16/4/2019

Ligi Kuu Tanzania kuendelea tena kesho huku vinara Yanga SC wakiwa uwanjani huku Simba SC wakiwakabili Coastal Union, Wagosi wa Kaya kwenye dimba la Mkwakwani. Kwa hayo na mengine mengi ya kimichezo ungana na Fatma Chikawe ndani ya MSHIKEMSHIKE VIWANJANI.



Hali iko hivi Uwanja wa Mkwakwani, Simba vs Coastal Union, BM TV Tupo Tanga Kukupasha Matukio yote
Hali iko hivi Uwanja wa Mkwakwani, Simba vs Coastal Union, BM TV Tupo Tanga Kukupasha Matukio yote

#simbasc #tpl #coastalunion SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



MAGOLI: COASTAL UNION 1-1 AZAM FC (TPL - 19/02/2019)
MAGOLI: COASTAL UNION 1-1 AZAM FC (TPL - 19/02/2019)

Azam FC imeendelea kuangusha pointi baada ya leo kubanwa na Coastal Union kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Wenyeji Coastal Union ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 45+2 kupitia kwa Ayoub Lyanga, lakini Obrey Chirwa akasawazisha bao hilo dakika ya 51 ya mchezo. Azam sasa wamefikisha pointi 50 katika nafasi ya pili baada ya kucheza mechi 24 huku Coastal wakiwa nafasi ya saba na pointi 34 baada ya kucheza michezo 26.




« Previous Next »


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Best Ball Controls  #Chicago Bulls  #Shaquille O'Neal  #Chris Paul  #Kawhi Leonard  #Gareth Bale  #Paul Pogba  #Sergio Aguero  #Russell Westbrook  

Popular Users

#BringerOfRain20  #BadgerMBB  #dougferguson405  #SHAQ  #MariaSharapova  #kevinlove  #JoelEmbiid  #sportspickle  #mcuban  #SimplyAJ10  #blakegriffin23  #geniebouchard  #ArianaGrande  #TheRock