Content removal request!


Haya hapa magoli yote, Ruvu Shooting ikiwapapasa Wagosi wa Kaya Coastal Union 2-1 nyumbani kwao

Timu ya Coastal Union imechapwa mabao 2-1 na Ruvu Shooting mchezo wa ligi kuu Tanzania, kwenye uwanja wake wa nyumbani, wa Mkwakwani Jijini Tanga. Magoli ya Ruvu yamefungwa na Sadat Mohamed pamoja na Graham Naftari wakati Coastal goli lake likifungwa na Mudathir Said. Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media&hl=en_US Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz