Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023

Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis. Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati. Tazama highlights....

Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023
Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023

Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis. Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati. Haya hapa magoli yote sita ya mchezo huu...

🔴LIVE: MRISHO NGASA ANYOOSHA MIKONO KWA MAXI NZENGELI/YANGA WANAUPIGA MWINGI KULIKO SIMBA/PACOME MTU
🔴LIVE: MRISHO NGASA ANYOOSHA MIKONO KWA MAXI NZENGELI/YANGA WANAUPIGA MWINGI KULIKO SIMBA/PACOME MTU

JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?utm_source=Youtube_pmtv&utm_medium=Video&utm_campaign=registrations NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA IST NA NISSAN DUALIS TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU INSTAGRAM @pmtvtz TWITTER @Pmtvtz TIKTOK @Pmtvtz

🔴LIVE: KOCHA GEITA AUKUBALI MUZIKI WA YANGA, AWANYOOSHEA MIKONO VIUNGO, AMTAJA PACOME & MAX NZENGELI

🔴LIVE: GOD YANGA AZUA GUMZO RWANDA ''MADUNDUKA NI VITI MAALUMU TUNAITAKA MAMELOD MAKUNDI CAFCL''
🔴LIVE: GOD YANGA AZUA GUMZO RWANDA ''MADUNDUKA NI VITI MAALUMU TUNAITAKA MAMELOD MAKUNDI CAFCL''

JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?utm_source=Youtube_pmtv&utm_medium=Video&utm_campaign=registrations NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA IST NA NISSAN DUALIS TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU INSTAGRAM @pmtvtz TWITTER @Pmtvtz TIKTOK @Pmtvtz #Pmtv #KiburudaniZaidi #POWER #POWERDYNAMOS #ZAMBIA #NDOLA #INONGA #LUIS #CHEMALONE #CHEFONDO #NGOMA #FABRICENGOMA #PACOME #ZOUZOUA #YAOYAO #NZENGELI #BACCA #SKUDUMAKUDUBELA #AUBIN #KRAMO #pmtv #simba #moloko #morrison #sakho #moloko #morrison #sakho #UGANDA #VIPERS #MUTUKULA #moloko #morrison #sakho #KAZE #pmtv #yanga #simba #simbasc #mayele #diarra #kibwana #lomalisa #azizki #morrison #feitoto #aucho #sureboy #musonda #moloko #kisinda #namungo #ligikuutanzania #nbcpremeireleague #chama #baleke #ntibazonkiza #sawadogo #manula #sakho #robertinho #KYOMBO #MPENJA #BARAKAMPENJA #habibkyombo #MUCHACHO #kibudenis #ghalibmzinga #VIPERS #AHMEDALLY #CAFCL #LIGIYAMABINGWAAFRIKA

« Previous Next »

Popular Tags

#Franck Ribery  #Kyrie Irving  #Anthony Davis  #Mesut Ozil  #New York Knicks  #Kawhi Leonard  #Best Goalkeeper Saves  #Football Skills  #Counter Attack Goals Football  #Mesut Ozil  

Popular Users

#blakegriffin23  #TheRock  #kobebryant  #Buster_ESPN  #cesc4official  #darrenrovell  #hunterpence  #serenawilliams  #BBCBreaking  #MieshaTate  #BizNasty2point0  #jimmyfallon