Mashujaa 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 13/06/2026
Mashujaa 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 13/06/2026

#NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC ikiwa ugenini dhidi ya Mashujaa FC. Mechi imepigwa katika dimba la Lake Tanganyika Kigoma. Magoli yamefungwa na Mudathir Yahya na Bakari Mwamnyeto FT: Mashujaa 0-2 Yanga #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MashujaaVsYanga #Mashujaa #YangaSC #MSHYNG



GOLI LA KWANZA LA YANGA DHIDI YA  MASHUJAA.
GOLI LA KWANZA LA YANGA DHIDI YA MASHUJAA.

Mpira umeanzia kwa Djigui Diarra, ukaguswa na Prince Dube kisha Mudathir Yahya akaupokea kwa umahiri na kuujaza nyavuni. 41’: Mashujaa 0-1 Yanga



🔴JULIO YANGA NI TIMU MBOVU
🔴JULIO YANGA NI TIMU MBOVU

Kuelekea mechi ya Tarehe 13.6 ,kauli ya Julio ni hii. 🎙️JULIO, Mashujaa FC. 🗣️"Simba SC wao wana safu kali ya kushambulia kuliko Yanga SC, Yanga SC kwangu ni timu nyepesi Kabisa ila bado nawaheshimu, Dube ni mchezaji Opportunist sio Fighter, Pacome ana kokota vizuri, Mudathir ni mjanja mjanja, Ukiwawekea watu wa kuwakaba vizuri hawachezi, Goli 5 sio kwa Julio."- Jamhuri Kihwelo 'Julio' Head Coach Mashujaa FC. 🗣️"Yanga SC wanajua Kabisa wanaenda Kucheza na Kocha anaejiamini sana, sasa nilivyojiamini wakati ule na Simba SC ndivyo hivyo hivyo ninavyojiamini kwa Yanga SC."- Julio.



Magoli | Yanga SC 3-0 Singida BS | NBC Premier League 22/05/2026
Magoli | Yanga SC 3-0 Singida BS | NBC Premier League 22/05/2026

Yamefungwa magoli matatu.... chuma mbili zikiwekwa kambani na Allan Okello na goli lingine likifungwa na Mudathir Yahya kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Hii ni Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.




Next »


Popular Tags

#Philadelphia 76ers  #Neymar  #Counter Attack Goals Football  #Stephen Curry  #Best Goals  #Goalkeeper Saves  #Best Football Defending Skills  #Football Defensive Skills  #Kawhi Leonard  #Best Ball Controls  

Popular Users

#Ky1eLong  #WWE  #kevinlove  #SportsCenter  #criscyborg  #JJWatt  #SrBachchan  #selenagomez  #LilTunechi  #KimKardashian  #THNRyanKennedy  #jadande  #elonmusk  #lindseyvonn