MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024
MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024

Stephane Aziz Ki amefunga magoli mawili na kufikisha magoli 17 katika mbio za ufungaji bora, Yanga ikiibugiza Dodoma Jiji mabao 4-0 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliofunguliwa na goli la Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Aziz kufunga mawili dakika ya 45+3 kwa penati na dakika ya 51, na kisha Maxi Nzengeli akafunga kazi kwa goli la nne dakika ya 78. Magoli yote manne haya hapa....



Yanga SC 5-0 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 11/03/2024
Yanga SC 5-0 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 11/03/2024

Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86.



Magoli | Yanga SC 5-0 Ihefu SC | NBC Premier League 11/03/2024
Magoli | Yanga SC 5-0 Ihefu SC | NBC Premier League 11/03/2024

Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86. Haya hapa magoli yote matano....



SUDI ABDALLAH: MRITHI WA MAYELE AFUNGUKA A to Z| USAJILI WAKE KUJA TANZANIA| AMCHAMBUA MAX NZENGELI
SUDI ABDALLAH: MRITHI WA MAYELE AFUNGUKA A to Z| USAJILI WAKE KUJA TANZANIA| AMCHAMBUA MAX NZENGELI

#youtubetürkiye #yanga #simba #beautyyoutuber #indianyoutuber #jualviewyoutube #newyoutuber #nguvumoja #simbasc #simbasctanzania #tanzania #taifastars #tff #maroc #morocco #wcqualifiers #caf #soka #cafcl #kochampya #kochawasimba #robertinho #tabulele #simba #soka #yanga #live #ahmedally #chama #allykamwe #azamfc #mayele #usajili #kochampya #kochawasimba #simba #yanga #simbasc #yangasc #soka #nbcpl #kariakooderby #simba #yanga #soka #simbavyanga #caf #yanga #yangasc #bwiganetv#bwiganetv #bwiganetv #tpa #interports2023 #sokaletu #bandari #simba #yanga #allykamwe #live #ahmedally #azamfc #chama #mayele #soka #usajili #bwiganetv #soka #tpa #interports #bandari #yanga #yangasc #kochawayanga #mechiyaleo #yangavsazam #magoliyote #azizki #simba #azizki #hattrick #yangavsazam #matchday #mechiyaleo #soka #sokaletu #nbcpl #simba #simbasc #yangasc #azam #azamfc #tpmazembe #esperança #esperance #tpmazembevsesperance #yanga #yangavsazam #yangasc #azamfc #afl #simba #simba #harrmonize #soka #ahmedallySimba SC #simba #afl #simbavsalahly #alahly #wataniwajadi #watani #simbanayanga #simba #yanga #simbasc #yangasc #ahmedally #allykamwe #sokaletu #afrika #afl #alahly #live #soka #simba #chama #yanga #ahmedally #afl #africanfootball ##allykamwe #azamfc #mayele #usajili #simba #live #soka #yanga #afl #afcon #drooyaafcon #ahmedally #barakampenja #upete #azamtv #live #chama #soka #simba #yanga #ahmedally #afl #allykamwe #live #soka #simba #simbasc #sokaletu #mechiyaleo #highlights #magoliyote #matchday #yanga #yangasc ##chama #ahmedally #allykamwe #bwiganetv#simba#yanga#live #tff #mechiyaleo #matchday #uefa #ahmedally #simba #yanga #live #allykamwe #usajili #soka #chama #azamfc #mayele #simbavscoastalunion #juakali #siasa #trending #raissamiasuluhuhassan #ccm #sokaletu #sports #ucl #uel #uefa #caf #cafcl #uefachampionsleague #europaleague #liverpool #bayern #bayernmunich #barcelona #joãofélix #namungo #ihefu #saido #baleke #kibu #chama #championsleague #sopu #job #azamfc #bocco #mechi #mzaramo #mgunda #robertinho #kocha #kochampya #kochamkuu #psl #zamalek #pyramid #mayele #psl8 #livescore #matchday #coastalunion #dida #kaze #kagerasugar #mashujaa #efm #wasafi #wasafifestival #muzikiunaongea #wasafitv #mpenjatv #ayomatv #ayotv #millardayo #clouds #rfa #cafclcc #totalenergies #taifastars #tff #pacome #maxi #maxiday #botolapro #jupilerpro #global #mamelodsundowns #orlandopiratesnews #onana #kaizerchiefs #orlando #movies #tbt #globaltv #throwbackthursday #throwback #feisal #azamtv #mwananchi #live #allykamwe #live #soka #simba #ahmedally #usajili #yanga #mayele #azamfc #chama #live #allykamwe #soka #usajili #yanga #ahmedally #azamfc #mayele #simba #chama #live #soka #azamfc #ahmedally #simba #usajili #yanga #allykamwe #mayele #chama #live #soka #ahmedally #simba #allykamwe #yanga #usajili #chama #caf #cafcl #cafclcc #afcon #soka #live #tff #afcon #caf #sokaletu #taifastars #mayele #ahmedally #allykamwe #live #simba #soka #usajili #yanga #chama #azamfc #live #allykamwe #simba #ahmedally #usajili #yanga #mayele #soka #azamfc #chama #live #simba #yanga #chama #allykamwe #ahmedally #azamfc #soka #usajili #live #simba #yanga #ahmedally #allykamwe #usajili #soka #mayele #azamfc #chama #chemalone #ajali #simba #yanga #usajili #ahmedally #soka #azamfc #chama #mayele #allykamwe #live #inonga #cafcl #totalenergies #caf #powerdynamos #tff #goddyyanga #mzaramo #bungenileo #tanzania #israel #palestine #mechiyaleo #matchday #uefa #ahmedally #simba #yanga #live #allykamwe #usajili #soka #chama #azamfc #mayele #msuva #taifastars #simbavscoastalunion #juakali #siasa #trending #raissamiasuluhuhassan #ccm #sokaletu #sports #ucl #uel #uefa #caf #cafcl #uefachampionsleague #europaleague #liverpool #bayern #bayernmunich #barcelona #joãofélix #namungo #ihefu #saido #baleke #kibu #chama #championsleague #sopu #job #azamfc #bocco #mechi #mzaramo #mgunda #robertinho #kocha #kochampya #kochamkuu #psl #zamalek #pyramid #mayele #psl8 #livescore #matchday #coastalunion #dida #kaze #kagerasugar #mashujaa #efm #wasafi #wasafifestival #muzikiunaongea #wasafitv #mpenjatv #ayomatv #ayotv #millardayo #clouds #rfa #cafclcc #totalenergies #taifastars #tff #pacome #maxi #maxiday #botolapro #jupilerpro #global #mamelodsundowns #orlandopiratesnews #onana #kaizerchiefs #orlando #movies #tbt #globaltv #throwbackthursday #throwback #feisal #azamtv #mwananchi #tanesco #soka #balond'or #messi #diariosports #afp #skysports #simba #live #simbavsalahly#afl #simba #alahly #simbavsalahly #africanfootball



Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023
Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023

Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis. Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati. Tazama highlights....



Rasmi Uongozi Wa Simba Wamtimua Kocha Robertinho, Juma Mgunda Arudishwa Kuinoa Timu
Rasmi Uongozi Wa Simba Wamtimua Kocha Robertinho, Juma Mgunda Arudishwa Kuinoa Timu

Simba Vs Yanga Simba Vs Yanga Live Simba Vs Yanga Leo Simba Vs Yanga Leo Live Simba Vs Yanga Live Leo Simba Vs Yanga Magoli Yote Simba Vs Yanga Highlights Simba 1-5 Yanga Goli La Musonda Dhidi Ya Simba Goli La Kibu Denis Dhidi Ya Yanga Goli La Maxi Nzengeli Dhidi Ya Simba Goli La Aziz Ki Dhidi Ya Simba Magoli Ya Maxi Nzengeli Dhidi Ya Simba Goli La Pacome Dhidi Ya Simba Goli La Zouzoua Pacome Dhidi Ya Simba Kikosi Cha Simba Kikosi Cha Simba Kinachoanza Kikosi Cha Simba Vs Yanga Kikosi Cha Simba Dhidi Ya Yanga Kikosi Cha Yanga Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kikosi Cha Yanga Vs Simba Kikosi Cha Yanga Dhidi Ya Simba #SimbaSc #YangaSc #NbcPl #Simba #Yanga #AzamTv #HajiManara #MoDewji




« Previous Next »


Popular Tags

#Shot Goals  #James Harden  #Boston Celtics  #Paul Pogba  #LeBron James  #LeBron James  #Stephen Curry  #Best Champions League  #Goalkeeper Saves  #Ronaldinho  

Popular Users

#ArianFoster  #oldhossradbourn  #LAKings  #wizkhalifa  #criscyborg  #realmadrid  #espn  #KDTrey5  #KevinHart4real  #LilTunechi  #cnnbrk  #obj  #lindseyvonn  #BellaTwins