🔴#LIVE: KAULI ya MOO DEWJI BAADA ya SIMBA Kutoka SARE NA PLATEAU UTD... Muwekezaji wa klabu ya Simba, Moo Dewji, , amechambua mechi ya SIMBA vs PLATEAU UTD, iliyomalizika kwa sare ya bila kufungana... Matokeo hayo yanawapa Simba tiketi ya kufuzu hatua ya pili ya mtoano katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: UCHAMBUZI wa MWL KASHASHA - SIMBA vs PLATEAU, Amtaja MZAMIRU, DILUNGA.. MCHAMBUZI mahiri wa soka,, MWL Kashasha, amechambua mechi ya SIMBA vs PLATEAU UTD, iliyomalizika kwa sare ya bila kufungana... Matokeo hayo yanawapa Simba tiketi ya kufuzu hatua ya pili ya mtoano katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIKOSI cha Simba Desemba Mosi kimereja salama ndani ya ardhi ya Tanzania baada ya kuanza safari jana Novemba 30 kutoka mji wa Jos Nigeria na leo kilianzia safari Abuja kabla ya kuibukia Kilimanjaro. Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika walishinda bao 1-0 dhidi ya Plateau United kwenye mchezo wa awali. Mchezo huo ulichezwa Novemba 29 ulikuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 huku ukitawaliwa na matukio mengi ya nje ya uwanja ikiwa ni pamoja na kuzuia tukio hilo kurushwa mubashara kupitia Television. Baada ya ushindi wa mchezo wa kwanza, Simba wanatarajiwa kurudiana Desemba 5, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa pili ikiwa itashinda itasonga mbele kwenye hatua ya mtoano. Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kuwa wachezaji wote wapo salama jambo linalowapa nguvu kupambana kuelekea mchezo wao wa pili ambao utakuwa na ushindani mkubwa. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Hili ndiyo goli pekee la Mbeya City lililoihakikishia nafasi yake ndani ya #LigiKuuTanzaniaBara #VPL msimu ujao baada ya matokeo ya jumla kukamilika kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Geita Gold FC ambao wamecheza mtoano wa kupanda Ligi Kuu kwa msimu wa pili mfululizo bila mafanikio. Timu hizo zilikamilisha mchezo wao kwanza sare ya bao 1-1 huko mjini Geita. #VodacomPremierLeague #VPLPlayoffs Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Haya ni magoli sita yaliyojitokeza katika mchezo wa mtoano kati ya Mbao dhidi ya Ihefu uliopigwa jijini Mwanza na kushuhudiwa Mbao wakishuka daraja hadi FDL (daraja la kwanza) huku Ihefu wakipanda daraja hadi #LigiKuuTanzaniaBara msimu ujao baada ya faida ya goli la ugenini kuwa neema kwa upande wao ikiwa walishuka dimbani wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa magoli 2-0 katika mchezo wa kwanza na hivyo kufanya matokeo ya jumla kuwa mabao (4-4) #AzamSports #MbaoFC #IhefuFC #MbaoIhefu #LigiDarajaLaKwanza Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa katika mchezo wa mkondo wa pili kati ya #MbaoFC ya jijini Mwanza dhidi ya #IhefuFC ya jijini Mbeya. Mbao FC imeshuka daraja na sasa itashiriki #LigiDarajaLaKwanza msimu ujao wa 2020/2021 #MbaoIhefu #VodacomPremierLeague #VPLPlayoffs #mtoano Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Huu ni mchezo wa mkondo wa pili wa mtoano kati ya Mbao FC ya jijini Mwanza dhidi ya Ihefu SC kutoka jijini Mbeya. Mchezo huu ulioamua Ihefu kupanda daraja huku Mbao FC wakishuka hadi Ligi daraja la kwanza. Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii; http://instagram.com/ufmradiotz http://twitter.com/ufmradiotz http://facebook.com/ufmradiotz #FDLUpdates #VPLUpdates #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #LigiKuuDarajaLaKwanza Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama jinsi Mbeya City kutoka Ligi Kuu ilivyokabana koo na Geita Gold kutoka daraja la kwanza katika kinyang'anyiro cha kucheza ligi kuu msimu ujao. Huu ni mchezo wa mkondo wa kwanza wa mtoano (play off) ukipigwa kwenye Uwanja wa Nyankungu Geita na kumalizika kwa sare ya bao 1-1 wafungaji wakiwa ni Suleiman Ibrahim na bao la kujifunga la Rehan Kibingu wote wa Mbeya City. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz