GOLIKIPA MBAO FC: ALICHOKUWA ANAONGEA NA MAYELE/NI MCHEZAJI ANAYELIONA GOLI...
GOLIKIPA MBAO FC: ALICHOKUWA ANAONGEA NA MAYELE/NI MCHEZAJI ANAYELIONA GOLI...

Yes!..ni raha ya kandanda katika kombe la Shirikisho la Azam Sports, raundi ya 32 ambapo Wananchi Yanga SC, wanapambana na Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Huu ni mchezo wa mtoano ambao Mshindi anaenda raundi ya 16 bora. Kama kawaida, Mpenja TV tuko Dimba la CCM Kirumba Mwanza kukupatia Updates zote za kabla na baada ya mechi. Endelea kufuatilia Channel yetu na Kurasa zetu zote za Mitandao ya Kijamii ya Instagram na Tweeter. #YangaSCVsMbaoFC #ASFC #YangaSC #MbaoFC #CCMKirumba #MpenjaTV



RED ARROWS VS SIMBA SC DAKIKA 45 ZA MWANZO WAMEKUBALI KUPIGWA GOLI MOJA....
RED ARROWS VS SIMBA SC DAKIKA 45 ZA MWANZO WAMEKUBALI KUPIGWA GOLI MOJA....

Leo Desemba 5, 2021, Mnyama Simba yupo ugenini mjini Lusaka kucheza mechi ya marudiano ya hatua ya mtoano ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ...



HILI HAPA GOLI LA RED ARROWS VS SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA HATUA YA MTOANO
HILI HAPA GOLI LA RED ARROWS VS SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA HATUA YA MTOANO

HILI HAPA GOLI LA RED ARROWS VS SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA HATUA YA MTOANO #redarrows #goli #simba - - - KARIBU KUITAZAMA ...



Magoli | Transit Camp 1-4 Mtibwa Sugar | Play Off 21/07/2021
Magoli | Transit Camp 1-4 Mtibwa Sugar | Play Off 21/07/2021

Mtibwa Sugar wameanza vema mechi ya mtoano kujiepusha na janga la kushuka daraja kwa kuichapa Transit Camp mabao 4-1 katika mchezo wa mkondo wa ...



Magoli | Pamba FC 2-2 Coastal Union | Play Off 21/07/2021
Magoli | Pamba FC 2-2 Coastal Union | Play Off 21/07/2021

PAMBA VS COASTAL UNION: Timu ya Pamba ya jijini Mwanza imelazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Coastal Union ya tanga katika mchezo wa mtoano ...



Namungo Yafuzu Wakiwa Hotelini, Yanga Kucheza na RUVU
Namungo Yafuzu Wakiwa Hotelini, Yanga Kucheza na RUVU

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KLABU ya Namungo imejikuta ikikata tiketi ya kutinga hatua ya pili ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika wakiwa hotelini baada ya mchezo wao wa marudiano kufutwa dhidi ya Al Rabita. Taarifa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ni kwamba Shirikisho la Soka Afrika (Caf) imetangaza kuufuta mchezo huo wa marudiano ambao wenyeji walitakiwa kuwa Rabita sababu kubwa ikiwa kushindwa kwa kugharamiwa kwa waamuzi wa mchezo huo ambao ulitakiwa kupigwa baadaye jioni katika Uwanja wa Chamazi Complex nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Rabita waliomba mchezo huo upigwe katika uwanmja huo baada ya kushindwa kuchezwa nchini kwao Sudan kutokana na sababu za kiusalama ambapo Shirikisho la Soka Afrika (Caf) waliridhia ombi hilo. Taarifa ya TFF imesema Caf imetangaza uamuzi huo baada ya Chama cha Soka Sudan Kusini (SSFA) kushindwa kukamilisha taratibu kuhusu waamuzi waliopangwa kuchezesha mechi hiyo. "CAF wamefuta mechi ya kombe la Shirikisho kati ya Al Rabita FC Juba na Namungo FC iliyokuwa ichezwe leo jijini Dar es Salaam."imesema sehemu ya taarifa hiyo ya TFF HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



LUIS MIQQUISONE Alivyomsimamisha MOO DEWJI JUKWAANI, Ampigia MAKOFI na SHANGWE BALAA..
LUIS MIQQUISONE Alivyomsimamisha MOO DEWJI JUKWAANI, Ampigia MAKOFI na SHANGWE BALAA..

LUIS MIQQUISONE Alivyomsimamisha MOO DEWJI JUKWAANI, Ampigia MAKOFI na SHANGWE BALAA.. MTANANGE wa kukata na shoka wa kuwania kufuzu hatua ya pili ya mtoano katika ligi ya mabingwa Afrika, kati ya SIMBA SC vs PLATEAU UTD ya Nigeria, umemalizika kwa sare ya bila kufungana, ambapo matokeo hayo yamewapa Simba tikte ya kufuzu hatua hiyo... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Michael Jordan  #Football Defensive Skills  #Best Goals  #Paul Pogba  #Best Goals Ever  #Best Football Defending Skills  #Kawhi Leonard  #LeBron James  #Shot Goals  #Best Ball Controls  

Popular Users

#RealSkipBayless  #incarceratedbob  #IAmJericho  #strombone1  #alexmorgan13  #MieshaTate  #sydneyleroux  #DjokerNole  #TimTebow  #hunterpence  #taylorswift13  #geniebouchard  #HEELZiggler  #WWE