Content removal request!


Highlights: Geita Gold FC 1-1 Mbeya City - VPL Play Off 29/7/2020

Tazama jinsi Mbeya City kutoka Ligi Kuu ilivyokabana koo na Geita Gold kutoka daraja la kwanza katika kinyang'anyiro cha kucheza ligi kuu msimu ujao. Huu ni mchezo wa mkondo wa kwanza wa mtoano (play off) ukipigwa kwenye Uwanja wa Nyankungu Geita na kumalizika kwa sare ya bao 1-1 wafungaji wakiwa ni Suleiman Ibrahim na bao la kujifunga la Rehan Kibingu wote wa Mbeya City. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz