Content removal request!


Goli pekee lililoirudisha Mbeya City kwenye VPL msimu ujao (1-1, agg 2-1) vs Geita Gold FC

Hili ndiyo goli pekee la Mbeya City lililoihakikishia nafasi yake ndani ya #LigiKuuTanzaniaBara #VPL msimu ujao baada ya matokeo ya jumla kukamilika kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Geita Gold FC ambao wamecheza mtoano wa kupanda Ligi Kuu kwa msimu wa pili mfululizo bila mafanikio. Timu hizo zilikamilisha mchezo wao kwanza sare ya bao 1-1 huko mjini Geita. #VodacomPremierLeague #VPLPlayoffs Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz