AHMED ALLY KINYONGE AKIRI UTOFAUTI WA ALAMA 10 NA YANGA NI MKUBWA/BADO LIGI MBICHI/ORLANDO WAJIANDAE
AHMED ALLY KINYONGE AKIRI UTOFAUTI WA ALAMA 10 NA YANGA NI MKUBWA/BADO LIGI MBICHI/ORLANDO WAJIANDAE

Baada ya Kulazimishwa Suluhu Tasa na Polisi Tanzania Mabingwa Watetezi Wa Ligi Kuu ya NBC Simba SC wamerejea Dar es Salaam wakitokea Kilimanjaro Usiku Huu Baada ya Kutua Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Amesema kwa Sasa Wanaelekeza akili Zao katika Mchezo Wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Orlando Pirates April 17 Uwanja Wa Benjamin Mkapa huku Akikubali Kuwa Utofauti Wa Alama na Vinara Wa Ligi Yanga Ni Mkubwa Lakini Bado Kuna Mechi Nyingi Hivyo Mbio Za Ubingwa Zinaendelea #MpenjaTV #SimbaSC #AhmedAlly



ALWATAN NGODA Achambua POLISI TZ vs SIMBA, KIWANGO cha SIMBA Kuelekea kwa ORLANDO, MBIO za UBINGWA..
ALWATAN NGODA Achambua POLISI TZ vs SIMBA, KIWANGO cha SIMBA Kuelekea kwa ORLANDO, MBIO za UBINGWA..

ALWATAN NGODA Achambua POLISI TZ vs SIMBA, KIWANGO cha SIMBA Kuelekea kwa ORLANDO, MBIO za UBINGWA.. BAADA ya dakika 90 za mchezo wa Polisi Tanzania dhidi ya Simba Sc kukamilika katika Dimba la Ushirika, Kilimanjaro kwa kutoa suluhu, Global TV imefanya mahojiano maalum na mtangazaji na mchambuzi wa michezo nchini Tanzania, Ramadhani Ngoda. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Meneja wa SIMBA Atamba Hatujamalizana na Plateau United, Ushindi Lazima Jumamosi
Meneja wa SIMBA Atamba Hatujamalizana na Plateau United, Ushindi Lazima Jumamosi

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIKOSI cha Simba Desemba Mosi kimereja salama ndani ya ardhi ya Tanzania baada ya kuanza safari jana Novemba 30 kutoka mji wa Jos Nigeria na leo kilianzia safari Abuja kabla ya kuibukia Kilimanjaro. Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika walishinda bao 1-0 dhidi ya Plateau United kwenye mchezo wa awali. Mchezo huo ulichezwa Novemba 29 ulikuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 huku ukitawaliwa na matukio mengi ya nje ya uwanja ikiwa ni pamoja na kuzuia tukio hilo kurushwa mubashara kupitia Television. Baada ya ushindi wa mchezo wa kwanza, Simba wanatarajiwa kurudiana Desemba 5, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa pili ikiwa itashinda itasonga mbele kwenye hatua ya mtoano. Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kuwa wachezaji wote wapo salama jambo linalowapa nguvu kupambana kuelekea mchezo wao wa pili ambao utakuwa na ushindani mkubwa. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Simba kuwasili Dar usiku huu
Simba kuwasili Dar usiku huu

Kikosi cha Simba kinarejea jijini Dar es Salaam usiku huu kikitokea Moshi Kilimanjaro tayari kwa ajili ya kujiandaa na mechi yake ya marudiano dhidi ya Plateau United Jumamosi hii. #SimbaPlateau #Simba #Plateau Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



KOCHA, WACHEZAJI TANZANIA Wafunguka KUKOSA  Nafasi ya Tatu CECAFA
KOCHA, WACHEZAJI TANZANIA Wafunguka KUKOSA Nafasi ya Tatu CECAFA

KOCHA, WACHEZAJI TANZANIA Wafunguka KUKOSA Nafasi ya Tatu CECAFA Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ leo Desemba 19, 2019 imefungwa goli 2-1 na timu Taifa ya Kenya katika mchezo wa kutafuta Mshindi wa tatu katika mashindano ya Chalenji nchini Uganda na kutoka mikono mitupu. Katika mchezo huo ulioanza saa 7:00 mchana, Kenya walitumia vyema makosa binafsi ya wachezaji wa Stars, kuweza kupachika mabao hayo. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li



UGANDA1-0 TANZANIA BARA: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (SEMI FINAL 2 CECAFA SENIOR CHALLENGE 17/12/2019)
UGANDA1-0 TANZANIA BARA: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (SEMI FINAL 2 CECAFA SENIOR CHALLENGE 17/12/2019)

Timu ya soka ya taifa ya Tanzania Bara (The Kilimanjaro Stars) imeshindwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya CECAFA Kombe la Chalenji baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wa michuano hiyo Uganda (The Cranes). Kilimanjaro Stars katika mchezo huo walicheza kwa tahadhari kubwa lakini bahati haikuwa upande wao kwani mnamo dakika ya 86 ya mchezo Uganda walifanikiwa kupata bao lililofungwa na Fahad Bayo na kutinga hatua ya fainali. Uganda itacheza fainali dhidi ya Eritrea ambayo leo imewavua ubingwa Kenya (The Harambee Stars) katika moja ya mechi ya kushangaza na kusisimua ikipata ushindi wa mabao 4-1.



Ditram Nchimbi akizungumza baada ya ushindi dhidi ya Zanzibar michuano ya Cecafa.
Ditram Nchimbi akizungumza baada ya ushindi dhidi ya Zanzibar michuano ya Cecafa.

Mchezaji wa Timu ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Ditram Nchimbi akizungumza baada ya ushindi dhidi ya Zanzibar michuano ya Cecafa.




« Previous Next »


Popular Tags

#Michael Jordan  #Luis Suarez  #Best Ball Controls  #Mesut Ozil  #Paul Pogba  #Football Defensive Skills  #Paul George  #Amazing Solo Goals  #David Silva  #Franck Ribery  

Popular Users

#JLo  #JJWatt  #Harry_Styles  #Kaepernick7  #sydneyleroux  #nyt4thdownbot  #CMPunk  #BeingSalmanKhan  #justinbieber  #BaileyLAKings  #selenagomez  #shakira  #IAmJericho  #darrenrovell  #TheRealJRSmith