Mchezaji wa Timu ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Ditram Nchimbi akizungumza baada ya ushindi dhidi ya Zanzibar michuano ya Cecafa.
Alichokisema Kocha wa Timu ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Juma Mgunda baada ya mchezo dhidi ya Zanzibar michuano ya Cecafa.
Goli pekee la Kenya dhidi ya Tanzania Bara Michuano ya CECAFA Senior Challenge