Baada ya Kulazimishwa Suluhu Tasa na Polisi Tanzania Mabingwa Watetezi Wa Ligi Kuu ya NBC Simba SC wamerejea Dar es Salaam wakitokea Kilimanjaro Usiku Huu Baada ya Kutua Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Amesema kwa Sasa Wanaelekeza akili Zao katika Mchezo Wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Orlando Pirates April 17 Uwanja Wa Benjamin Mkapa huku Akikubali Kuwa Utofauti Wa Alama na Vinara Wa Ligi Yanga Ni Mkubwa Lakini Bado Kuna Mechi Nyingi Hivyo Mbio Za Ubingwa Zinaendelea #MpenjaTV #SimbaSC #AhmedAlly