MANENO YA MGUNDA BAADA YA USHINDI NDIDI YA ZANZIBAR
MANENO YA MGUNDA BAADA YA USHINDI NDIDI YA ZANZIBAR

Alichokisema Kocha wa Timu ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Juma Mgunda baada ya mchezo dhidi ya Zanzibar michuano ya Cecafa.



LIVE :ZANZIBAR HEROS 0-1 KILIMANJARO HEROS Kikosi cha Zanzibar Heros Dhidi ya Tanzania CECAFA 2019
LIVE :ZANZIBAR HEROS 0-1 KILIMANJARO HEROS Kikosi cha Zanzibar Heros Dhidi ya Tanzania CECAFA 2019

#KilimanjaroHeros VS ZANZIBAR HEROS Kikosi cha Tanzania Bara Dhidi ya #ZanzibarHeros #Cecafa2019 nchini Uganda kwa mwaka wa 2019



KENYA 1-0 TANZANIA BARA | HIGHLIGHTS (CECAFA SENIOR CHALLENGE - 8/12/2019)
KENYA 1-0 TANZANIA BARA | HIGHLIGHTS (CECAFA SENIOR CHALLENGE - 8/12/2019)

Timu ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars imepoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Cecafa Senior Challenge baada ya kukubali kufungwa bao 1-0 na Kenya kwenye mchezo uliochezwa katika uwanja wa KCCA nchini Uganda. Katika mchezo huo Kenya walifanikiwa kupata bao la mapema ambalo lilifungwa dakika ya 4 na Abdallah Hassan na kudumu hadi mchezo unamalizika. Kilimanjaro Stars walipambana kuhakikisha wanasawazisha bao hilo kwa kufanya mabadiliko mbalimbali ya kiufundi lakini jitihada zao ziligonga mwamba kutokana na umakini wa timu ya Kenya ambao walicheza kwa tahadhari kubwa kulinda bao lao. Kwa matokeo hayo Kilimanjaro Stars inashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa kundi B ikifuatiwa na Sudan na Zanzibar Heroes huku Kenya wakiongoza kundi hilo.



TANZANIA v BURUNDI: Bao la Habib Kyombo dakika ya 4
TANZANIA v BURUNDI: Bao la Habib Kyombo dakika ya 4

Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23, Kilimanjaro Worriors inapambana na Burundi kwenye kuwania kufuzu kwa fainali za Afcon kwa wachezaji wa umri wao. Hili hapa bao la Habib Kyombo akiitanguliza Tanzania.



MAGOLI Yote ya Simba Vs Ruvu Shooting 3-0
MAGOLI Yote ya Simba Vs Ruvu Shooting 3-0

MAGOLI Yote ya Simba Vs Ruvu Shooting 3 0 SIMBA SC imeendeleza kasi yake nzuri kuelekea kwenye taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Simba ifikishe pointi 38 baada ya kucheza mechi 16 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya Azam FC wanaoshika nafasi ya pili huku pia wakiwazidi pointi saba mabingwa watetezi, Yanga SC walio nafasi ya tatu. Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Hans Mabena wa Tanga aliyesaidiwa na Arnold Bugando wa Singida na Slyvester Mwanga wa Kilimanjaro, hadi mapumziko Simba ilikuwa mbele kwa bao 1-0. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..



Kitu Bausi kaongea baada ya Tanzania bara kufungwa na Zanzibar jana
Kitu Bausi kaongea baada ya Tanzania bara kufungwa na Zanzibar jana

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar heroes kocha Salum Bausi amepongeza kikosi cha timu ya taifa ya Zanzibar kwa kupata ushindi wa jana dhidi ya timu ya taifa ya Tazania bara Kilimanjaro Stars. Kocha Baussi pia amempa pongezi kocha Hemed Suleiman Morocco, kwa kufanya mabadiliko yalioleta matumaini na hatimae timu ya Zanzibar Heroes ikapata ushindi wa magoli 2-1.




« Previous


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Kevin Durant  #Paul George  #Football Defensive Skills  #Sergio Aguero  #New York Knicks  #Neymar  #Miami Heat  #Michael Jordan  #Cristiano Ronaldo  

Popular Users

#NASA  #Cristiano  #SportsCenter  #J_No24  #fauxpelini  #taylorswift13  #BellaTwins  #JayBilas  #neymarjr  #richarddeitsch  #rioferdy5  #katzm  #jadande  #MikePereira  #CNN