Tafadhali Subscribe Shutikali Tv ili kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali za Michezo #sokatanzania #simba #yanga #azam #mpira #football #tanzania #chama #feitoto# #mayele#azizki#mosesPhiri#mashabikisimbayanga#ahmedyally#allykamwe#
Ligi Kuu ya NBC inaendelea katika Dimba la Azam Complex Chamazi ambapo Yanga SC anamkaribisha Mtibwa Sugar katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Saa 12 na Nusu Jioni. Mpenja Tv tunakuletea matukio yote Muhimu Kabla na Baada ya Mchezo huo.
Ligi Kuu ya NBC imeendelea Leo 11/12/2023, katika Dimba la Azam Complex Chamazi, na kushuhudia Azam FC alipata ushindi wa Goli 2-1 dhidi ya JKT Tanzania.
Tathmini yakinifu kutoka kwa Ghalib Mzinga Mchambuzi na Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, Naada mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Medeama SC dhidi ya Yanga SC, huku Timu hizi zikilazimishana sare ya Mabao ya 1-1.
Tathmini yakinifu kutoka kwa Ghalib Mzinga Mchambuzi na Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Wydad Athletic Club dhidi ya Simba SC. Mzinga anaamini utakuwa ni mchezo mgumu licha ya Wydad kuonekana hajaanza vyema katika Michezo yake ya awali.
Leo Disemba 2,2023 inapigwa Mitanange miwili ya ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi,ambapo katika Dimba la Benjamin Mkapa Yanga SC inawaalika Al Ahly kutoka Misri,Saa 1 Usiku na Simba SC atakuwa Botswana kumenyana na Jwaneng Galaxy,Saa 10 jioni.
Wananchi wamefika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kumpokea msanii kutoka kundi la KKL BOMOKO nchini Congo DR anayetamba na kibao cha "Tabulele", kwa ajili ya hamasa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, @yangasc dhidi ya Al Ahly siku ya Novemba 2, 2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Baada ya kusubiri sana hatimaye Mwamba ndani ya nyumba, ndani ya Jiji kubwa la Kibiashara la Dar Es Salaam, anasema Yanga kwake ni zaidi ya timu, imempa thamani kubwa.
Leo Novemba 21 Timu ya Yanga SC wameianza safari kuelekea Nchini Algeria kupiti Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Kwende kuminyana na CR Belouizdad siku ya Novemba 24 Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Mpenja Tv tunakusogezea matukio yote kutoka hapa Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.