Content removal request!


MR TABULELE ATINGA KONDE VILLAGE/HARMONIZE AMPOKEA/KUANDAA REMIX YA TABULELE.

Wananchi wamefika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kumpokea msanii kutoka kundi la KKL BOMOKO nchini Congo DR anayetamba na kibao cha "Tabulele", kwa ajili ya hamasa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, @yangasc dhidi ya Al Ahly siku ya Novemba 2, 2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Baada ya kusubiri sana hatimaye Mwamba ndani ya nyumba, ndani ya Jiji kubwa la Kibiashara la Dar Es Salaam, anasema Yanga kwake ni zaidi ya timu, imempa thamani kubwa.