Leo Januari 7,2024 katika Uwanja wa New Amaan Sports Complex inachezwa michezo miwili ya Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi,Saa 10:15 jioni KVZ FC dhidi ya Mlandege FC. Saa 2:15 usiku, Yanga SC dhidi ya APR FC.
Leo Januari 5,2024 katika Uwanja wa New Amaan Sports Complex inapigwa Michezo miwili ya Kombe la Mapinduzi 2024,Saa 10:15 jioni Jamhuri SC dhidi ya JAMUS FC Saa 2:15 usiku,Simba SC dhidi ya APR SC.
Mapinduzi Cup 2024 inaendelea leo Januari 3,2024 ,APR SC dhidi ya JKU SC Saa 10:15 usiku Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC,Saa 2:15 usiku
Kikosi cha Simba SC,kimefanya mazoezi katika Viwanja vya mazoezi vya Amaan kwa ajili ya mchezo wa Mapinduzi Cup dhidi ya JKU,Utakaochezwa Januari Mosi,2024 Uwanja wa New Amaan Sports Complex Saa 2:15 Usiku.
Kikosi cha Yanga SC,kimefanya mazoezi katika Viwanja vya mazoezi vya Amaan kwa ajili ya mchezo wa Desemba 31,2023 dhidi ya Jamhuri,Utakaochezwa uwanja wa New Amaan Sports Complex Saa 2:15 Usiku.
Tafadhali Subscribe Shutikali Tv ili kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali za Michezo #sokatanzania #simba #yanga #azam #mpira #football #tanzania #chama #feitoto# #mayele#azizki#mosesPhiri#mashabikisimbayanga#ahmedyally#allykamwe#
Leo Disemba 19 2023, Unapigwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Athletic Club majira ya Saa 10 Jioni. Mpenja Tv tunakuletea mfululizo wa matukio yote muhimu kabla na hata baada ya Mechi hiyo.