Leo Februari 10,2024 Klabu ya Yanga imefanya Wananchi Mbeya Jogging ikiwa ni Sherehe za maadhimisho ya miaka 89 ya Klabu hiyo,Zinazofanyika Jijini Mbeya. Pia wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya,Kitengo cha Wazazi na Magonjwa ya Wanawake Meta, kuwajulia hali Wagonjwa na kuwapatia Zawadi mbalimbali.
Leo Januari 31,2024 Simba SC inashuka Dimba la Azam Complex chamazi kumenyana na Tembo SC kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Saa 1:00 Usiku.
Mtangazaji na Mchambuzi wa Soka kutoka Azam Media ,Gharib Mzinga @gharib_23 ameeleza mtazamo wake kuhusu AFCON 2023. Pia amechambua kiundani michezo waliyocheza Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ya kundi F kwenye Michuano hiyo hadi kufikia Januari 24,2024 walipotolewa kwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya timu ya Taifa ya CONGO.
KIPYENGA CHA MWISHO Osmani Kazi Alivyotoa Utata Goli la NGOMA na Penalti Tata ya KAGERE #golilangoma #penalti #nusufainali #simbasc #kikosichasimba #singidafountaingate #wachezajiwaliosajiliwasimba #wachezajiwapyawasimba #usajiliwasimba #simbasc #tetesizausajili #yangasc #dirishadogolausajili #meziane #usajiliwasimba #simbasc #abderahmanemeziane #chama #simbakumfungiachama #simbasc #jwanenggalaxy #yangasc #alahly #wachezajiwanaotemwasimba #dirishadogolausajili #simba #simbaleo #simbasc #asecmimosas #ligiyamabingwaafrika #cafcl #yangasc #crbelouizdad #kochampya #abdelhackbenchka #kochampyawasimba #taifastars #tanzania #simbasc #yangasc #ligikuutanzania #magoliyoteleo #nbc #azamfc #ligikuu #tanzania #yanga #azamtv #trending #youtube #usajilisimba #usajiliyanga #tetesizausajili #dirishadogolausajili #dirishakubwalausajili #2023 #wachezajiwanaotemwasimba #wachezajiwanaotemwayanga #usajili #simba #magoli #chama #maxinzengeli #manara #alikamwe #ahmedally #gsm #moodewji #raissamia #samiasuluhu #caf #cafcc #cafcl #harmonize #diamondplatnumz #alikiba #wcb #wasafi #millardayo #wasafitv #music #football #news #sports #samatta #novatusdismas #ccm #chadema #zanzibar #africa #cecafa #live #ngaiyajamii #fifa #messi #ronaldo
Tazama matukio yote yaliyojiri mchezo wa nusu fainali ya mapinduzi Cup kati ya Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC. Simba imetinga fainali kwa kupata penati 3-2 Waliopiga penati ni Medie Kagere, Hamad Waziri, Duke Abuya, Gadiel Michael na Deus Kaseke kwa upande wa Singida FG. Shomari Kapombe, Luis Miquissone, Saidi Ntibazonkiza, , Israel Mwenda na Moses Phiri kwa upande wa Simba SC.