Content removal request!


Singida Fountain Gate 1 (2-3) 1Simba | Highlights | Mapinduzi Cup - 10/01/2024

Tazama matukio yote yaliyojiri mchezo wa nusu fainali ya mapinduzi Cup kati ya Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC. Simba imetinga fainali kwa kupata penati 3-2 Waliopiga penati ni Medie Kagere, Hamad Waziri, Duke Abuya, Gadiel Michael na Deus Kaseke kwa upande wa Singida FG. Shomari Kapombe, Luis Miquissone, Saidi Ntibazonkiza, , Israel Mwenda na Moses Phiri kwa upande wa Simba SC.