Ahmed Ally atangaza ujio wa kocha mpya Simba, amtaja Adel Zrane, Gamond
Ahmed Ally atangaza ujio wa kocha mpya Simba, amtaja Adel Zrane, Gamond

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed ametaja sifa za kocha wao mpya ambaye watakuja kumtangaza siku chache zijazo kabla ya mechi yao ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mbingwa dhidi ya Asec Mimosas. Ahmed Ally pia amezungumzia tetesi kuhusu aliyewahi kuwa kocha wao wa viungp Adel Zrane.



Simba 2-2 Al Ahly | Highlights |  African Football League 20/10/2023
Simba 2-2 Al Ahly | Highlights | African Football League 20/10/2023

Ni mchezo wa ufunguzi ulioshuhudia Simba ikitoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Kibu Denis dakika ya 53, na Sadio Kanoute dakika ya 59 huku magoli ya Al Ahly yakifungwa na Reda Slim (45'+1) na Mahamoud Karahba dakika ya 63.



#🔴KISUGU SIMBA NILIWAAMBIA MBALALI AWATOKI NA DHAMBI ZAO/WAMEWADHARIRISHA WAZEE SIKU YA AZIZI KI DAY
#🔴KISUGU SIMBA NILIWAAMBIA MBALALI AWATOKI NA DHAMBI ZAO/WAMEWADHARIRISHA WAZEE SIKU YA AZIZI KI DAY

ONE TOUCH kwa habri za mastaa michezo siasa na burudani please SUBSRIBE THEN CLICK THE BELL FOR MORE UPDATES #diamondplatnumz #harmonize #sara #kajala#anjela #kondegang #Mimbayazuchu yazua utata ukweni kaka wa zuchu afichua #harusidiamond wazae baada ya ndoa #lovesounddiffeeent #barnaba #diamond #wasafi,#diamondplatnumz,#alikiba,#harmonize,#ushamba,#nandyftalikiba ,#nibakishie,#Wasafitvlive,#instalive,#Youtubelive,#Mboso,#lavalava,#zuchu,#koffieolomide,#diamond&kofiiolomide,#waah!,#waah!challenge #lavalava,kwaru,wcb,raha,#alikiba,yope,#rayvanny,#diamond,#bachela,#gere,#kwangwaru,#aslay,#missbuza,#thestorybook,#nanusu,#tetema,#nandy,#rayvanny,#lavalava,#hakuna kulala,#wasafi,#marioo,#live,#whozu,bedroom,#zuchu,mama,ashua,tamba,corona,harmonize,#afro east,#linawachoma,#chadema,#rostam,#dodo,#diamond platnumz,#mbowe,wana,mauzauza,#cheche,#amaboko,#zuchu,#uchaguzimkuu2020,#trending,magufuli,#wasafitvlive,nisamehe,#harminze,alikiba,#tundulisu,#nandy,jeje,#ccmlive,#yoperemix #wasafi#,diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,#kamwambie,#harmonize,#makulusa,#baila,#pamela,#iyena,#baikoko,#nikuone,#sijaona,tetema,niteke,#niuwe,#simba,#jeje,#gere,#kanyaga, Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @PLANTAMEDIA Na kulike facebook page planta media #wasafi,#diamond platnumz,alikiba,#harmonize,#ushamba,#nandyftalikiba,#nibakishie,#Wasafitvlive,#instalive,#Youtubelive,#Mboso,#lavalava,#zuchu,#koffieolomide,#diamond&kofiiolomide,#waah!,#waah!challenge #lavalava,kwaru,wcb,raha,#alikiba,yope,#rayvanny,#diamond,#bachela,#gere,#kwangwaru,#aslay,#missbuza,#thestorybook,#nanusu,#tetema,#nandy,#rayvanny,#lavalava,#hakuna kulala,#wasafi,#marioo,#live,#whozu,bedroom,#zuchu,mama,ashua,tamba,corona,harmonizplatnumz,#mbowe,wana,mauzauza,#cheche,#amaboko,#zuchu,#uchaguzimkuu2020,#trending,magufuli,#wasafitvlive,nisamehe,#harminze,alikiba,#tundulisu,#nandy,jeje,#ccmlive,#yoperemix #wasafi#,diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,#kamwambie,#harmonize remix,#tanzania,#tutorial,#tumewas #hakunakulala,#raha,#nisamehe,#bedroom, #yopeyoperemix,#kwangwaru,#afroeast,#wcb,#tamba,#nandy,#aslay, #nanusu,#mama,#corona,#lavalava,#harmonize,#wasafi, #thestorybook,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko #sukari,#waah,#hasara,#nobody,#wizkid,#davido,#burnaboy #diamondplatnumz,#wana,#kwaru,buza#,jeje,#gere,#baclava,#harmonize,#wasafi, #thestory book,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko,#sukari,#waah#,hasara, #wananchiday2020,#wananchi,#yanga,#youngafricans,#yangasc, #antonionugaz,#yangaleo,#senzo,#alichokisemanugaz,#kambiyayangakigamboninibalaa,#mshindomsola,#wapesalamu,#shutikalitv,#simba,#azamtv,#azamtvmax,#azamsports,#morrison,#hajimanara,#diamondplatnumz,#simbasc,#manara,#wasafi,#globaltvonline,#barakampenja,#tuisilakisinda, #ligikuu,#azamtv,#michezo,#highlights,#azamsportshd,#azamsports2, #yanga,#sportarenawasafitv,#sportarena,#tanzanianews,#wasafitv #diamondplatnumz,#wana,#kwaru,#hakunakulala,#raha,#nisamehe, #bedroom,#missbuza,j#eje,#gere,#bachela,#dodo,#alikiba,#diamond, #yope,#yoperemix,#kwangwaru,#afroeast,#wcb,#tamba,#nandy,#aslay, #nanusu,#mama,#corona,#lavalava,#harmonize,#wasafi,#thestorybook ,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko,#sukari,#shusa#wasafi,#diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire, #kamwambie,#harmonize,#makulusa,#baila,#pamela,#iyena,#baikoko, #nikuone,#sijaona,#tetema,#kainama,#niteke,#tamu,#niuwe,#simba,#jeje,#gere,#kanyaga,#sound,#wizkid,#davido,#burnahboy,#chrisbrown, #despacito,#inama,#sukari,#shusha#harmonize,#uno,#ibraah,#corona,#covid19,#kondegang,#kondemusicworldwide,#diamondplatnumz, #wcbwasafi,#rayvanny,#mbosso,#zuchu,#lavalava,#halifa,#snopdoog, #davido,african music,#afroeast,#eastafricansound,#afropop, #bedroom,#kakatuchat,#sautisoul,#khaligraphjones,#nyanshisk, #yemialade,#magufuli,#tiwasavage,#rema,#fire,#boy,#joeboy,#skiibii,#gwajima,#joti,#cnn,#mpoki,#salimkikeke,#darasa, #bongomovie,#netflix,#samatta,#quarantine,#onenight,#lockdown #swahiliflix #ikulumawasiliano #magufuliliveikulu #chatolive #youtubelive #instalive #jux #ladyjaydee #rostam #stamina #dogojanja #jumalokole #drkumbukauhondo #didashaibu #mashamsham #zarithebosslady #tanashadona #mamadangote #esmaplatnumz #queendareen #uchebe #shilolenarommy #babalevo #wolper #kajalanaharmonize #auntezekiel #kusah #wasafitvlive #simulizinasauti #Ayotv #rickmediatz #dizimonilne #aristote #hamisamobeto #tiffa #koffieolomidenanandy #waa! #diamondnakoffieolomide #papamopao #mwananchidigital #Edigital #middlesimba #ptvtanzania #rayvannysoundofafricaalbum



Magoli | Ihefu SC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League 04/10/2023
Magoli | Ihefu SC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League 04/10/2023

Yanga SC imekutana na kichapo cha 2-1 kwa mara nyingine tena kutoka kwa Ihefu SC kwenye Uwanja wa Highland Estates mkoani Mbeya, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga wametangulia dakika ya 4 kupitia kwa Pacome Zouzoua kabla ya Ihefu kuchomoa dakika ya 40 kupitia kwa Lenny Kissu na Charles Ilanfya kufunga la pili dakika ya 67.



Yanga 1-0 Al Merrikh | Highlights | CAF CL 30/09/2023
Yanga 1-0 Al Merrikh | Highlights | CAF CL 30/09/2023

Goli pekee la Clement Mzize limeipa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Merrikh ya Sudan katika mchezo wa marudiano, Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Matokeo haya yameifanya Yanga itinge hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa jumla ya magoli 3-0 kufuatia ushindi wa 2-0 ilioupata kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Kigali nchini Rwanda.



Magoli na Penati | Tanzania 2-0 Ivory Coast (pen:4-2) | Kufuzu WAFCON 26/09/2023
Magoli na Penati | Tanzania 2-0 Ivory Coast (pen:4-2) | Kufuzu WAFCON 26/09/2023

KUFUZU AFCON WANAWAKE: Timu ya Taifa ya Wanawake, #TwigaStars imeitupa nje Ivory Coast kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kupindua matokeo ya 2-0 na kufanya matokeo ya jumla kuwa 2-2. Ni katika mchezo wa marudiano kuwania tiketi ya kufuzu AFCON kwa Wanawake #WAFCON uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Kwenye mchezo huo, Twiga Stars imepata mabao yake kupitia kwa Donisia Minja dakika ya 50 na Opah Clement dakika ya 52 kabla ya kenda kwenye matuta.... Haya hapa magoli mawili na mikwaju yote tisa ya penati.



Magoli yote | Yanga 5-0 JKT Tanzania | NBC Premier League 29/08/2023
Magoli yote | Yanga 5-0 JKT Tanzania | NBC Premier League 29/08/2023

YANGA vs JKT: Yanga SC imeichakaza JKT Tanzania mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi....... Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yametoka kwa Stephane Aziz Ki kwa free kick dakika ya 45+5, Kenedy Musonda dakika ya 54, Yao Kouassi dakika ya 64 na Max Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 79 na 88. Haya hapa magoli yote......



Magoli yote | Yanga 5-1 ASAS FC | CAF CL 26/07/2023
Magoli yote | Yanga 5-1 ASAS FC | CAF CL 26/07/2023

YANGA VS AS AL SABIEH: Yanga SC imefuzu raundi ya pili ya hatua za awali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa kishindo ikiipa kipigo cha jumla cha mabao 7-1 ASAS ya Djibouti kufuatia ushindi wa 5-1 iliyoupata leo katika mchezo wa marudiano. Waliotikisa nyavu kwenye game ya leo iliyopewa jina la #MaxDay ni Max Nzengeli dakika ya 7 na 90+2, Hafidh Konkoni dakika ya 45, Pacome Zouzoua dakika ya 55 na Clement Mzize dakika ya 69 huku ASAS nao wakipata bao kwa penati dakika ya 85 kupitia kwa Tito Mayor Mechi zote mbili zimepigwa hapa Azam Complex, Chamazi, Yanga wakiwa wamshinda 2-0 katika mchezo wa kwanza….. Haya hapa magoli yote sita…




« Previous Next »


Popular Tags

#Russell Westbrook  #Stephen Curry  #Goal Celebrations  #Philadelphia 76ers  #Kobe Bryant  #Paul Pogba  #Mesut Ozil  #Football Defensive Skills  #New York Knicks  #Michael Jordan  

Popular Users

#CNN  #RyanBabel  #TheCUTCH22  #iamsrk  #imVkohli  #CP3  #nyt4thdownbot  #SHAQ  #AntDavis23  #ochocinco  #geniebouchard  #NASA  #serenawilliams  #cnnbrk