Content removal request!


Magoli | Ihefu SC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League 04/10/2023

Yanga SC imekutana na kichapo cha 2-1 kwa mara nyingine tena kutoka kwa Ihefu SC kwenye Uwanja wa Highland Estates mkoani Mbeya, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga wametangulia dakika ya 4 kupitia kwa Pacome Zouzoua kabla ya Ihefu kuchomoa dakika ya 40 kupitia kwa Lenny Kissu na Charles Ilanfya kufunga la pili dakika ya 67.