kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes
AHSANTE KWA KUTAZAMA KAYUNI TV, TAFADHALI SHARE VIDEO HII KWA RAFIKI ZAKO. TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YOTE YA KIJAMII KWA JINA LA @KayuniTV INSTAGRAM https://www.instagram.com/kayuni_online_tv?igsh=MW1vN2V5bmpyYXV6Zw== X https://x.com/KayuniTv?t=G3epqd0VEBQgf2U603pp2w&s=09 FACEBOOK https://www.facebook.com/share/12G9Zjr9Cxs/ TICKTOK https://www.tiktok.com/@kayunitanzania?_t=ZM-8vk8llPnIqz&_r=1
kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes
Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like... UFAFANUZI Kuna mahala Mzee wa Data ameteleza kwa kusema kuwa Pyramids wakitwaa ubingwa CAFCL wataongeza pointi 6 katika 42 walizo nazo sasa na kufikisha pointi 48. Usahihi ni kwamba wataongeza pointi 5 tu na kufikisha pointi 47 na siyo 48. Hivyo, Pyramids hawawezi kuiporomosha Simba kutoka nafasi ya 5 waliyopo sasa hata kama watatwaa ubingwa wa CAFCL kwa sababu Simba tayari wana pointi 48 il-hali (wao) Pyramids watatimiza pointi 47 tu endapo watatwaa ubingwa katika fainali yao dhidi ya Mamelodi. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"