Content removal request!


Magoli na Penati | Tanzania 2-0 Ivory Coast (pen:4-2) | Kufuzu WAFCON 26/09/2023

KUFUZU AFCON WANAWAKE: Timu ya Taifa ya Wanawake, #TwigaStars imeitupa nje Ivory Coast kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kupindua matokeo ya 2-0 na kufanya matokeo ya jumla kuwa 2-2. Ni katika mchezo wa marudiano kuwania tiketi ya kufuzu AFCON kwa Wanawake #WAFCON uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Kwenye mchezo huo, Twiga Stars imepata mabao yake kupitia kwa Donisia Minja dakika ya 50 na Opah Clement dakika ya 52 kabla ya kenda kwenye matuta.... Haya hapa magoli mawili na mikwaju yote tisa ya penati.