Content removal request!


Ahmed Ally atangaza ujio wa kocha mpya Simba, amtaja Adel Zrane, Gamond

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed ametaja sifa za kocha wao mpya ambaye watakuja kumtangaza siku chache zijazo kabla ya mechi yao ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mbingwa dhidi ya Asec Mimosas. Ahmed Ally pia amezungumzia tetesi kuhusu aliyewahi kuwa kocha wao wa viungp Adel Zrane.