Yanga yawatambulisha Djuma Shabani na Jesus Moloko
Yanga yawatambulisha Djuma Shabani na Jesus Moloko

Klabu ya Yanga imewatambulisha wachezaji wapya wawili ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2021/2022. Wachezaji hao ni beki Djuma Shabani na winga Jesus Ducapel Moloko. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE | HAJI MANARA ANAZUNGUMZA NA WANAHABARI 04/08/2021
LIVE | HAJI MANARA ANAZUNGUMZA NA WANAHABARI 04/08/2021

Aliyekuwa Afisa Habari na Msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara anazungumza na waandishi wa habari. Mkutano uko LIVE katika chaneli ya #AzamSports1HD #AzamTvUpdates, #Simba #HajiManara #TFF #Soka #AzamTV Usikose kuangalia Taarifa ya Habari ya #AzamUTV ifikapo saa 2: 00 usiku huu, leo Alhamisi, Julai 29 kupitia kisimbuzi cha #AzamTV au AzamTV Max App. Miongoni mwa habari tulizo nazo ni pamoja na waganga wakuu waambiwa wachangamkie chanjo za corona ili kuzifikisha kwa wananchi. Unaweza kuipakua AzamTV Max App kupitia simu yako ya Android. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



PLAY OFF: MAGOLI YOTE| COASTAL UNION Vs PAMBA
PLAY OFF: MAGOLI YOTE| COASTAL UNION Vs PAMBA

Magoli ya jasho na damu, Coastal Union Vs Pamba katika kuisaka ligi kuu. FT': Coastal Union 3-1 Pamba (Agg: 5-3). #AzamSports1HD na #AzamSports2HD #PlayOffs #VPLFDLPlayOffs #FDL #MtibwaSugar #CoastalUnion #PambaFC #TransitCamp Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE :  SIMBA v COASTAL UNION; UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 11/07/2021
LIVE : SIMBA v COASTAL UNION; UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 11/07/2021

Simba SC huenda wakatangaza ubingwa wao wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara endapo watapata sare au ushindi katika mchezo wao wa leo dhidi ya Coastal Union. Mechi inapigwa saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na kukufikia LIVE #AzamSports1HD. Muda huu ni uchambuzi kuelekea mchezo huo, studio ukiwa na Endelea kufuatilia Taarifa ya Habari Wikiendi kutoka #Azam UTV kupitia kisimbuzi cha #aAzamTV Tufuatilie pia kwenye mitandao ya kijamii; ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



KIPYENGA CHA MWISHO: Namungo Vs Simba; Ruvu Shooting Vs Simba  - 03/06/2021
KIPYENGA CHA MWISHO: Namungo Vs Simba; Ruvu Shooting Vs Simba - 03/06/2021

Ungana na Osman Kazi na Ahmed Hassan kwenye KIPYENGA CHA MWISHO akichambua namna waamuzi walivyochezesha michezo ya Ligi Kuu nchini kati ya Namungo Vs Simba; Ruvu shooting Vs Simba. KIPYENGA CHA MWISHO huruka kila Alhamis saa 3:30 usiku kupitia AzamSports1HD Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE |  TANZANIA PRISONS 1-0 JKT TANZANIA; UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL  14/03/2021
LIVE | TANZANIA PRISONS 1-0 JKT TANZANIA; UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 14/03/2021

Ilikuwa ni vita ya majeshi ambapo Tanzania Prisons wameichapa JKT Tanzania bao 1-0 wakiwa uwanja wa nyumbani Nelson Mandela, Sumbawanga. Huu ni uuchambuzi baada ya mchezo huo tukiwa LIVE #AzamSports1HD . Studio ni Ahmed Ally, Ally Mayay na Rashid Seif.




« Previous Next »


Popular Tags

#Chicago Bulls  #Zlatan Ibrahimovi  #Russell Westbrook  #Michael Jordan  #Tristan Thompson  #LeBron James  #Luis Suarez  #Best Football Defending Skills  #Amazing Solo Goals  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#dougferguson405  #Ky1eLong  #ArianaGrande  #wizkhalifa  #josecanseco  #SteveNash  #realmadrid  #katzm  #LAKings  #nytimes  #CP3  #SimplyAJ10  #lindseyvonn  #justinbieber