Moja kati ya mambo yaliyofanyika siku chache kabla ya Simba kukutana na US Gendarmerie Aprili 3, 2022 ni Rais wa Heshima, Mohamed Dewji (Mo Dewji) kutembela kambi ya Simba na kuzungumza na wachezaji, benchi la ufundi pamoja na viongozi. Ndani ya kipindi hiki pia utashuhudia jinsi vikundi vya mashabiki chini ya Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally vilivyokuwa vikijipanga kuelekea mechi hiyo. Hii ni #SimbaTV ya Jumamosi 02/04/2022 #AzamSports1HD