Klabu ya Yanga imewatambulisha wachezaji wapya wawili ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2021/2022. Wachezaji hao ni beki Djuma Shabani na winga Jesus Ducapel Moloko. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Magoli ya jasho na damu, Coastal Union Vs Pamba katika kuisaka ligi kuu. FT': Coastal Union 3-1 Pamba (Agg: 5-3). #AzamSports1HD na #AzamSports2HD #PlayOffs #VPLFDLPlayOffs #FDL #MtibwaSugar #CoastalUnion #PambaFC #TransitCamp Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama magoli yote yaliyopatikana ndani ya dakika 90 za mtanange wa nusu fainali Yanga ikiichapa Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Mapinduzi. Wananchi wakatinga fainali kwa penati 5-4. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
“Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba” - Mashabiki wa Simba mkoani Iringa wakijinadi ‘kuichinja’ Plateau United huku wakitamba kufika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
“Kiukweli wale jamaa wameyakanyaga…” - Mashabiki wa Simba kutoka jijini Dar es Salaam wameipongeza timu yao, huku wakitamba kwamba Plateau United watakiona cha moto uwanja wa Benjamin Mkapa. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
MWAKINYO VS PAZ: Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ametetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welter Weight baada ya kumtwanga Jose Carlos Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne. Ndondi hizi zimepigwa kwenye ukumbi wa #NextDoorArena usiku wa Novemba 13, 2020 chini ya utayarishaji wa Jackson Group Fight na kuruka LIVE #AzamSports2HD #HassanMwakinyo #JoseCarlosPaz #VitasaNight Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Leo zinachezwa mechi tatu za VPL, lakini tunaanza na mbili, ambazo ni Mbeya City vs Polisi Tanzania na Mtibwa Sugar vs Coastal Union saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD na #AzamSports2HD Baadaye saa 1:00 usiku ni Azam vs Dodoma Jiji. Fuatilia uchambuzi kuelekea mechi hizo. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tangu Biashara United ipande Ligi Kuu, Yanga haikuwahi kufanikiwa kuondoka na ushindi katika dimba la Karume mjini Musoma. Kichwa cha Michael Sarpong kimevunja mwiko huo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz