LIVE |  TANZANIA PRISONS VS JKT TANZANIA - VPL  14/03/2021
LIVE | TANZANIA PRISONS VS JKT TANZANIA - VPL 14/03/2021

Leo ni vita ya majeshi.... Tanzania Prisons wanakutana na JKT Tanzania wakiwa uwanja wa nyumbani Nelson Mandela, Sumbawanga. Huu ni uuchambuzi kuelekea mchezo huo utakaoanza saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD . Studio ni Ahmed Ally, Ally Mayay na Rashid Seif.



LIVE :  DODOMA JIJI VS POLISI TANZANIA; UCHAMBUZI KABLA YA MECHI    -   VPL 22/02/2021
LIVE : DODOMA JIJI VS POLISI TANZANIA; UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 22/02/2021

Leo zinapigwa mechi mbili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, ikianza ya Dodoma Jiji vs Polisi Tanzania, na kisha ni Azam vs Tanzania Prisons. Fuatilia uchambuzi kuelekea mechi hizo LIVE #azamSports1HD Usikose kutazama Morning trumpet,taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE: SIMBA VS TP MAZEMBE | UCHAMBUZI KABLA YA MECHI  - SIMBA SUPER CUP  31/01/2021
LIVE: SIMBA VS TP MAZEMBE | UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - SIMBA SUPER CUP 31/01/2021

Michuano ya #SimbaSuperCup inahitimishwa leo kwa mechi moja kali sana, kati ya Simba vs TP Mazembe kwenye Uwanja wa Taifa. Mechi inaanza rasmi saa 11:00 jioni na itakuwa LIVE #azamSports1HD



YANGA V AZAM | Magoli (1-1), penati zote 5-4, Yanga ikitinga fainali - Mapinduzi Cup 11/01/2021
YANGA V AZAM | Magoli (1-1), penati zote 5-4, Yanga ikitinga fainali - Mapinduzi Cup 11/01/2021

Tazama magoli yote yaliyopatikana ndani ya dakika 90 za mtanange wa nusu fainali Yanga ikiichapa Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Mapinduzi. Wananchi wakatinga fainali kwa penati 5-4. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



SIMBA Vs #FC PLATINUM: Mashabiki Yanga ‘kuwapiga jeki’ Simba
SIMBA Vs #FC PLATINUM: Mashabiki Yanga ‘kuwapiga jeki’ Simba

“Mimi ‘siwasapoti’ Simba…kwa hiyo tutakuja kama watani wa jadi kuwasapoti #Simba…” Mashabiki wa #Yanga mkoani Mwanza kuelekea mechi ya marudiano ya raundi ya kwanza ya Ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba Vs #FCPlatinum itakayochezwa Janaury 06, 2021, katika dimba la Benjamin Mkapa na kuruka Live kupitia #AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha 20000 kwa mwezi unatazama pambano hili. #CAFCL #SimbaSC #FCPlatinum Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli ya Simba SC (4-0) ihefu | Kasi ya 4G. Weka comment yako Kwa mwenendo huu wa Simba Sc.
Magoli ya Simba SC (4-0) ihefu | Kasi ya 4G. Weka comment yako Kwa mwenendo huu wa Simba Sc.

Simba Sc Vs ihefu Leo kipind cha kwanza kinaisha Kwa Goli Tatu Kwa sifuri DHIDI ya ihefu Ligi kuu nchini Tanzania #VPL #Simba #Ihefu #AzamSport2HD LIVE #AzamSports1HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #SimbaSC #KMCFC #KinoBoys #SSC #SimbaKMC #youtubeShorts



LIVE -  MBEYA CITY 0-1 SIMBA: UCHAMBUZI BAADA YA MECHI  - VPL  13/12/2020
LIVE - MBEYA CITY 0-1 SIMBA: UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 13/12/2020

Simba wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Goli pekee la Simba limefungwa na John Bocco. Tazama uchambuzi baada ya mechi hiyo LIVE #AzamSports1HD ukiwa na Dominick Salamba, Ally Mayay na Ahmed Ally Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Neno la Kocha msaidizi wa Azam FC Vivier Bahati kuelekea mechi ya VPL dhidi ya Gwambina
Neno la Kocha msaidizi wa Azam FC Vivier Bahati kuelekea mechi ya VPL dhidi ya Gwambina

#DondooZaMichezo Leo ni Gwambina FC vs Azam FC kwenye Dimba la Gwambina Complex, Misungwi Mwanza. Kuelekea mchezo huo, kocha msaidizi wa Azam, Vivier Bahati anatoa neno. Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #GwambinaFC #AzamFC #GwambinaAzam #AdhuhuriLIVE Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Sergio Aguero  #Counter Attack Goals Football  #Paul George  #Best Champions League  #Manuel Neuer  #Goalkeeper Saves  #Kyrie Irving  #Chris Paul  #Lionel Messi  

Popular Users

#sportspickle  #SHAQ  #SrBachchan  #J_No24  #BizNasty2point0  #elonmusk  #realmadrid  #DeionSanders  #HEELZiggler  #CNN  #rolopez42  #jimmyfallon  #LilTunechi  #TheRock