Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Baada ya mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Jwaneng Galaxy na Simba SC kumalizika kwa Mnyama kushinda 2-0 Uwanja wa Taifa wa Botswana, mjini Gaborone, Mpenja TV tumezungumza na Mchambuzi Ally Mayay Tembele tukitaka kujua maoni yake juu ya Mtanange huo. #JwanengGalaxyVsSimbaSC #SimbaSC #MpenjaTV
Mpenja TV imekuletea Mahojiano na Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta, baada ya mechi kuisha kwa Tanzania kufungwa 1-0 dhidi ya Benin. Fungua video hii kupata mahojiano kamili... #MbwanaSamatta #SamaGoal #TanzaniaVsBenin #MpenjaTV
Mpenja TV imepata nafasi ya kufanya mahojiano na Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Crescentius Magori, ambaye amezungumza mambo mengi sana kuhusu klabu ya Simba na Maisha ya soka la Tanzania. Magori amewahi kushika nyadhifa mbalimbali kama Ofisa Mtendaji mkuu wa Simba (CEO), Makamu wa kwanza wa Rais wa TFF, Mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Pia amewahi kuwa kiongozi na Mwanachama wa kundi maarufu la Friends of Simba. Enjoy mahojiano yetu na Mzee Magori! #Magori #SimbaSC #MpenjaTV
Mpenja TV ipo Jijini Dodoma kukuletea Updates zote za Mchezo wa ligi kuu kati ya Dodoma Jiji FC na Mabingwa watetezi Simba SC. Fungua video hii kupata uhondo huu…. #DodomaJijiFC #SimbaSC #TPL #MpenjaTV
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Yanga SC, Senzo Mbatha, baada ya Wananchi kuanza ligi kuu kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar leo Septemba 29, 2021, Uwanja wa Kaitaba Mkoani Kagera, amezungumza na #MpenjaTV Ipi ni mipango ya Yanga kuelekea mechi zijazo? Msikia hapa🙏🙏🙏 #SenzoMbatha #YangaSC #TPL
Mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi, amewamwagia minoti Golikipa wa Biashara United, James Ssetuba na wachezaji wenzake baada ya kutoka Suluhu (0-0) na Simba SC katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa Septemba 28, 2021 Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Musoma, Mara. RC Ally Hapi pia ameahidi kuwapatia Shilingi milioni 10 wachezaji wa Biashara United ambazo watachukua leo Septemba 29, 2021.
Leo Septemba 3 2022 Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Kirafiki kati ya Simba Sc na Arta ...
Leo Septemba 3 2022 Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Kirafiki kati ya Simba Sc na Arta ...
Simba Sc Wamewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Wakitokea Nchini Sudan ambapo walicheza Michezo ...
Leo Agosti 29 2022 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Mchambuzi kutoka Azam Tv Gharib Mzinga kuhusu matokeo ya Simba ...
Washabiki wa Simba Sc, Wakitamba baada ya Kumalizika kwa Mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa kati ya Simba Sc dhidi ya Asante ...
Washabiki wa Simba Sc, Wakitamba baada ya Kumalizika kwa Mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa kati ya Simba Sc dhidi ya Asante ...
Baada ya kumalizika kwa mchezo wa kufuzu CHAN Kati ya Tanzania na Uganda uliomalizika kwa Tanzania kupoteza goli kwa ...