Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

UCHAMBUZI WA ALLY MAYAY BAADA YA SIMBA KUTOBOLEWA NA MAZEMBE/SIMBA WANA TIMU NZURI

Tazama uchambuzi wa Ally Mayay Baada ya klabu ya simba kufungwa na Mazembe.

MWEE! MWEE! AMEREJEA SIMBA BWANA!/SHABIKI MAARUFU WA SOKA ISSA AZAM SASA NI MWEKUNDU

Aliyekuwa shabiki maarufu wa Azam FC, Issa Azam, ametangaza kuacha kuishabikia klabu hiyo na kurejea kuishabikia klabu ya Simba SC. Issa Azam sasa ataitwa Issa Simba?....fuatilia mahojiano haya ndani ya #MpenjaTV #IssaAzam #Simba

HII HAPA TAREHE RASMI SIMBA DAY/PATAWAKA/ THIS IS SIMBA BROTHER!!.

Afisa habari msaidizi wa Klabu ya Simba Bwn. Chiko akizungumza nasi mara tu baada ya Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Tarehe 26/08/2021 Katika Hoteli ya Hyatty Regency iliyopo Posta jijini Dar es salaam.

Highlights

KOCHA UGANDA AFUNGUKA MAZITO YA USHINDI VS TAIFA STARS/AMTAJA MOHAMED HUSSEIN ‘ZIMBWE JR’

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa kufuzu CHAN Kati ya Tanzania na Uganda uliomalizika kwa Tanzania kupoteza goli kwa ...

MBOTO AMUOMBEA DUA MZUNGU WA SIMBA/"AENDELEE KUFUNGA/AZIZ KI/MORRISON WANABALAA/HATUNA MAPUNGUFU"

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania maarufu Kwa jina la Mboto Haji akizungumzia ubora wa wachezaji wa timu ya Yanga Sc ...

USIFANYE MCHEZO NA AZIZ KI/ COASTAL UNION WAMENIPA MAFUA/MAYELE ATAONGEZA UFALME WAKE.

Leo Agosti 23 2022 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Shabiki maarufu wa Yanga Anuar Said 'Kigelegele Yanga' kuhusu ...

TEPSI EVANCE MCHEZAJI AZAM FC AFICHUA SIRI YA KUFANYA VIZURI/"MSIMU HUU UTAKUA BORA KWANGU"

Mpenja Tv tumekuletea mahojiano ya Viongozi pamoja na wachezaji baada ya mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Azam FC dhidi ...

KOCHA GEITA GOLD FILEX MINZIRO 'BABA ISAYA'/"SASA TIMU IPO VIZURI TUNARUDI UWANJA WA NYUMBANI"

ALICHOKISEMA KOCHA WA AZAM FC BAADA YA SARE NA GEITA GOLD/"GEITA WANATIMU NZURI/WAMECHEZA VIZURI"

ZAKA ZAKAZI KINYONGE AKUBALI DROO DHIDI YA GEITA/"YANGA NDIO WANAFUATA TUTAFANYA VIZURI"

MLETEEEE MZUNGUUUU/NI SHANGWE LA WANASIMBA/"MZUNGU MWANAUME/AMEWANYAMAZISHA/MJI UMETULIA"

Leo Tarehe 20/8/2022 Ni Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Wenyeji Simba Sc dhidi ya Wanankrukumbi Kagera Sugar ,Uwanja ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports