Baada ya mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Jwaneng Galaxy na Simba SC kumalizika kwa Mnyama kushinda 2-0 Uwanja wa Taifa wa Botswana, mjini Gaborone, Mpenja TV tumezungumza na Mchambuzi Ally Mayay Tembele tukitaka kujua maoni yake juu ya Mtanange huo. #JwanengGalaxyVsSimbaSC #SimbaSC #MpenjaTV