Content removal request!


KISA KUDAKA PENATI YA BOCCO GOLIKIPA/WACHEZAJI BIASHARA UNITED WAMWAGIWA MIHELA/KULAMBA MILIONI 10

Mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi, amewamwagia minoti Golikipa wa Biashara United, James Ssetuba na wachezaji wenzake baada ya kutoka Suluhu (0-0) na Simba SC katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa Septemba 28, 2021 Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Musoma, Mara. RC Ally Hapi pia ameahidi kuwapatia Shilingi milioni 10 wachezaji wa Biashara United ambazo watachukua leo Septemba 29, 2021.