Mpenja TV imepata nafasi ya kufanya mahojiano na Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Crescentius Magori, ambaye amezungumza mambo mengi sana kuhusu klabu ya Simba na Maisha ya soka la Tanzania. Magori amewahi kushika nyadhifa mbalimbali kama Ofisa Mtendaji mkuu wa Simba (CEO), Makamu wa kwanza wa Rais wa TFF, Mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Pia amewahi kuwa kiongozi na Mwanachama wa kundi maarufu la Friends of Simba. Enjoy mahojiano yetu na Mzee Magori! #Magori #SimbaSC #MpenjaTV