Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Kocha Msaidizi wa Simba SC ambaye anaiongoza timu hiyo katika michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika, Thierry Hitimana, amezungumzia maandalizi yao kuelekea kuivaa Jwaneng Galaxy ya Botswana Jumapili Oktoba 24, 2021, uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mechi ya marudiano ya ligi ya Mabingwa Afrika. Simba inahitaji sare au ushindi ili kutinga hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na ushindi wa 2-0 ugenini waliopata Oktoba 17, 2021 uwanja wa Taifa wa Botswana. #SimbaSC #JwanengGalaxy #ThierryHitimana #MpenjaTV
Leo Oktoba 21 2021, Mhamasishaji Mpya wa Klabu ya Simba, DC wa Insta Mwijaku, amezungumza na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba na Jwaneng Galaxy utakaochezwa Jumapili Oktoba 24, 2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa. Fungua video hii kupata habari kamili. . #simbasc #mwijaku #mpenjatv
Klabu ya Simba SC kupitia kwa Ofisa Habari wake Msaidizi, Ally Shatry maarufu Chico imetangaza kaulimbiu kuelekea mchezo wake wa marudiano wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana utakaochezwa Jumapili Oktoba 24, 2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa. Simba inahitaji Sare yoyote au ushindi ili kutinga hatua ya makundi kutokana na ushindi wa 2-0 ugenini Oktoba 17, 2021, uwanja wa Taifa wa Botswana. #SimbaSC #JwanengGalaxy #CAFChampionsLeague #AllyShatry #MpenjaTV
Ofisa Habari wa Azam FC, Thabit Chumwi Zakaria maarufu Zaka Zakazi, amezungumza na Mpenja TV baada ya timu yao kuwafumua Namungo Fc dakika za jioni kabisa. Zaka ametoa ya moyoni ndani ya mahojiano haya na Mpenha TV. Fungua video hii kupata Uhondo Kamili. #azamfc #namungofc #mpenjatv
Kocha mkuu msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati ameongea na Mpenja TV baada ya kumalizika kwa mchezo wa Azam FC dhidi Namungo leo Oktoba 19, 2021 Fungua video hii kumtazama. #azamfc #namungofc #mpenjatv
Nyota wawili wa kundanda Shiza Ramadhan Kichuya na Abdulaziz Makame 'Bui', wameeleza sababu za timu yao ya Namungo FC kufungwa bao dakika za mwisho na kupoteza 1-0 mchezo wa NBC Premier League dhidi ya wenyeji Azam FC uliochezwa leo Oktoba 19, 2021, Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. #AzamFCvsNamungo #ShizaKichuya #AbdulazizMakame #NBCPremierLeague #MpenjaTV
Leo ndiyo leo, Wajelajela Tanzania Prisons wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya Sokoine Mkoani ...
Leo Sept 13 Mpenja Tv tupo Mkoa Mbeya kukuletea matukio yote yatakayojiri katika mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Wenyeji ...
Nahodha wa Simba Sc Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' amezungumza kuhusu matokeo waliyoyapata dhidi ya Nyasa Big Bullets ...
Leo Septemba 10 2022 Mpenja Tv tubakuletea mahojiano na Mashabiki wa Soka wa Simba sports Club kuhusu mechi yao dhidi ...
Jiji linazizima Leo!! Ni Dar Es Salaam Derby inayowakutanisha Watoto wa Jangwani, Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC ...
Leo Septemba 3 2022 Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Kirafiki kati ya Simba Sc na Arta ...
Leo Septemba 3 2022 Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Kirafiki kati ya Simba Sc na Arta ...
Leo Septemba 3 2022 Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Kirafiki kati ya Simba Sc na Arta ...