Nyota wawili wa kundanda Shiza Ramadhan Kichuya na Abdulaziz Makame 'Bui', wameeleza sababu za timu yao ya Namungo FC kufungwa bao dakika za mwisho na kupoteza 1-0 mchezo wa NBC Premier League dhidi ya wenyeji Azam FC uliochezwa leo Oktoba 19, 2021, Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. #AzamFCvsNamungo #ShizaKichuya #AbdulazizMakame #NBCPremierLeague #MpenjaTV