Content removal request!


KOCHA WA AZAM VIVIER BAHATI AFUNGUKA YA MOYONI BAADA YA KUWAFUMUA NAMUNGO NYUMBANI

Kocha mkuu msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati ameongea na Mpenja TV baada ya kumalizika kwa mchezo wa Azam FC dhidi Namungo leo Oktoba 19, 2021 Fungua video hii kumtazama. #azamfc #namungofc #mpenjatv