Klabu ya Simba SC kupitia kwa Ofisa Habari wake Msaidizi, Ally Shatry maarufu Chico imetangaza kaulimbiu kuelekea mchezo wake wa marudiano wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana utakaochezwa Jumapili Oktoba 24, 2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa. Simba inahitaji Sare yoyote au ushindi ili kutinga hatua ya makundi kutokana na ushindi wa 2-0 ugenini Oktoba 17, 2021, uwanja wa Taifa wa Botswana. #SimbaSC #JwanengGalaxy #CAFChampionsLeague #AllyShatry #MpenjaTV
JE, UNA JAMBO LAKO? USILIFICHE! 🌍 Kuwa wa kwanza kutujuza habari, matukio, au matangazo kupitia MPENJA TV. Sisi tupo hapa kwa ajili yako! 🔴 TUPIGIE/WHATSAPP: +255 748 101 101 📞 SIMU: +255 686 816 895 | +255 686 715 249 📧 EMAIL: mpenjatvtz@gmail.com