Mpenja TV leo Novemba 22, 2021 imefanya mahojiano maalumu na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Hassan Bumbuli, ambaye amezungumzia mambo mbalimbali. Bumbuli pia amejibu kuhusu taarifa ya Ofisa Habari wa Geita Gold FC, Hemed Kivuyo, anayedai wametuma barua Yanga wakiomba kujua bei ya kuwanunua baadhi ya wachezaji, Feisal Salum na Mukoko Tonombe. Fuatilia mahojiano haya yakifanywa na Alwatan Abdulazi. #YangaSC #HassanBumbuli #FeisalSalum #MukokoTonombe #MpenjaTV