Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

RASMI PRINCE DUBE AREJEA KIKOSINI AZAM FC IKIIVAA KAGERA SUGAR ONA HAPA AKIJIWEKA SAWA
RASMI PRINCE DUBE AREJEA KIKOSINI AZAM FC IKIIVAA KAGERA SUGAR ONA HAPA AKIJIWEKA SAWA

Leo Disemba 12 Ligi kuu ya NBC Inaendelea Azam Fc wakiwakaribisha 'WANANKURUKUMBI' Kagera Sugar katika dimba la Azam Complex Chamazi.. #AzamFc #LigikuuyaNBC #KageraSugar #MpenjaTv

CHEKI SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA HUKO ZAMBIA BAADA YA SIMBA KUTINGA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO
CHEKI SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA HUKO ZAMBIA BAADA YA SIMBA KUTINGA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO

Shangwe la Mashabiki wa Klabu ya Simba Sc baada ya kutinga hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika licha ya kupoteza Mchezo kwa Magoli mawili kwa moja ambapo mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mashujaa Lusaka, Zambia FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #KochaPablo #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv

ALICHOKISEMA KOCHA WA SIMBA BAADA YA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AWATAJA MASHABIKI
ALICHOKISEMA KOCHA WA SIMBA BAADA YA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AWATAJA MASHABIKI

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Pablo Franco amezungumza na wanahabari baada ya kutinga hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika licha ya kupoteza Mchezo kwa Magoli mawili kwa moja mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mashujaa Lusaka, Zambia FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #KochaPablo #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv

SIMBA WAJIPANGE KUBORESHA KIKOSI HATUA YA MAKUNDI/MADHAIFU YAO HAYA HAPA - ALLY MAYAY
SIMBA WAJIPANGE KUBORESHA KIKOSI HATUA YA MAKUNDI/MADHAIFU YAO HAYA HAPA - ALLY MAYAY

Mpenja TV tumefanya mahojiano na Mchambuzi mahiri wa Azam TV, Ally Mayay Tembele, akizungumzia kiwango cha Simba, Ubora wa Simba Sc katika mchezo wa leo Desemba 5, 2021 dhidi ya Red Arrows ambao umechezwa uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka, Zambia. FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #Allykamwe #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv

RED ARROWS VS SIMBA SC DAKIKA 45 ZA MWANZO WAMEKUBALI KUPIGWA GOLI MOJA....
RED ARROWS VS SIMBA SC DAKIKA 45 ZA MWANZO WAMEKUBALI KUPIGWA GOLI MOJA....

Leo Desemba 5, 2021, Mnyama Simba yupo ugenini mjini Lusaka kucheza mechi ya marudiano ya hatua ya mtoano ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji Red Arrows FC. Hizi hapa mbwembwe za mashabiki wa Simba baada ya kufuzu hatua ya makundi. #SimbaSC #MashabikiWaSimba #RedArrowsVsSimba #Magazeti #MpenjaTV

JE SIMBA WAFANYE NINI ILI WABEBE KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA?/MSIKIE ALLY KAMWE AKIELEZA
JE SIMBA WAFANYE NINI ILI WABEBE KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA?/MSIKIE ALLY KAMWE AKIELEZA

Mpenja TV tumefanya mahojiano na Mchambuzi mahiri wa Azam TV, Ally Kamwe, akizungumzia kiwango cha Simba katika mchezo wa leo Desemba 5, 2021 dhidi ya Red Arrows ambao umechezwa uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka, Zambia. FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #Allykamwe #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv

ALLY MAYAY AWAPA MBINU SIMBA KUWAUA RED ARROWS KWAO/MKUDE SASA MFALME MPYA SIMBA/BANDA ANAJUA MPIRA
ALLY MAYAY AWAPA MBINU SIMBA KUWAUA RED ARROWS KWAO/MKUDE SASA MFALME MPYA SIMBA/BANDA ANAJUA MPIRA

Leo Disemba 03 Kikosi cha Mabingwa watetezi Simba Sc kimeondoka Nchini kuelekea Zambia kwa ajili ya kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya Red Arrows Fc ambao utachezwa Disemba 5, Kikosi cha Simba Sc kimeondoka kikiwa tayari kina mtaji wa magoli matatu kwa bila. Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Mchambuzi wa Masuala ya Michezo Ally Mayay Tembele amechambua kuelekea Mchezo huo na tahadhari ambazo Simba wanapaswa kuchukua kuelekea mchezo huo.. #AllyMayay #CafCC #KombelaShirikishoAfrika #SimbaSc #RedArrowsFc #MpenjaTv

UTAPENDA😋 MSIKIE MWAKALOBO ALIYETANGAZA GOLI LA IDRIS MBOMBO DHIDI YA MTIBWA FC/AELEZA ILIVYOKUWA
UTAPENDA😋 MSIKIE MWAKALOBO ALIYETANGAZA GOLI LA IDRIS MBOMBO DHIDI YA MTIBWA FC/AELEZA ILIVYOKUWA

Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Mtangzaji wa Goli la Azam fc dhidi ya Mtibwa Sugar amefunguka hali ilivyokuwa wakati akitangaza goli hilo,, #mwakalobo #AzamfcvsMtibwaSugar #Mbombo #MpenjaTV

Highlights

SIKIA SHOMBO ZA DOKII BAADA YA KUDROO NA SIMBA/WALIKUWA WANAZUNGUKA ZUNGUKA UWANJANI/WANA BAHATI.
SIKIA SHOMBO ZA DOKII BAADA YA KUDROO NA SIMBA/WALIKUWA WANAZUNGUKA ZUNGUKA UWANJANI/WANA BAHATI.

Leo Tarehe 23/10/2022 ni siku ya kushuhudia mbungi ya kukata na Shoka inayowakutanisha Watani wa Jadi,Watoto wa kariakoo ...

KAY MZIWANDA: "YANGA HAWATOBOI KWA CLUB AFRICAIN/ WAJE KWENYE JENGO LA SIMBA KUTUOMBA MSAMAHA...
KAY MZIWANDA: "YANGA HAWATOBOI KWA CLUB AFRICAIN/ WAJE KWENYE JENGO LA SIMBA KUTUOMBA MSAMAHA...

Shabiki wa Simba Sc Kaymziwanda ametoa Maoni yake kuhusu Wapinzani wa Yanga Sc,CLub Africain kutoka Tunisia ...

UCHAMBUZI: AZAM ILIWATOA MCHEZONI SINGIDA BIG STARS/ GOLI BORA LA BAJANA
UCHAMBUZI: AZAM ILIWATOA MCHEZONI SINGIDA BIG STARS/ GOLI BORA LA BAJANA

Leo October 03 2022 mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Azam Fc dhidi ya Singida Big Stars umemalizika kwa Azam Fc kuibuka ...

ZAKA ZA KAZI ALIVULIA KOFIA GOLI LA BAJANA/ KUNA GOLI LILIZUIA KUMBUNGA JOBU/ WALINISEMA SANA...

ALICHOKISEMA KOCHA WA SINGIDA BIG STARS BAADA YA KUPOTEZA/KOCHA AZAM AELEZA SIRI YA USHINDI

MSEMAJI WA SINGIDA BIG STARS AKUBALI YAISHE/“TUNAJIPANGA UPYA/TUMEFANYA MAKOSA WAKATUMIA NAFASI”

ALI KAMWE ATEMA CHECHE BAADA YA KUWAFUMUA RUVU SHOOTING/ATUPA JIWE GIZANI KUWAKABILI AL HILAL.
ALI KAMWE ATEMA CHECHE BAADA YA KUWAFUMUA RUVU SHOOTING/ATUPA JIWE GIZANI KUWAKABILI AL HILAL.

Leo Octoba 03 2022 moto utawaka katika Dimba la Benjamin Mkapa kwa mchezo mkali kupigwa kati ya Wazee wa Mpapaso ...

UCHAMBUZI SIMBA VS DODOMA JIJI "SIMBA WALIKUWA BORA SANA KATIKATI, WALIWACHANGANYA MABEKI"
UCHAMBUZI SIMBA VS DODOMA JIJI "SIMBA WALIKUWA BORA SANA KATIKATI, WALIWACHANGANYA MABEKI"

Leo Tarehe 2/10/2022 Simba Sc wanashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Walima Zabibu Dodoma Jiji, kwenye ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports