Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3. #MasauBwire #Ruvushooting #Simbasc #kochasimba #Pablofranco #MpenjaTv