Content removal request!


IDDY KIDEDEA: MTANGAZAJI WA MECHI YA RUVU SHOOTING NA SIMBA AVULIA KOFIA GOLI LA KIBU DENIS

Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3. Mpenja Tv tukapata muda wa kuzungumza na Mtangazaji wa mechi yanyewe Iddy Kidedea amefunguka hayaa.... #MasauBwire #Ruvushooting #Simbasc #MpenjaTv