Content removal request!


HALI YA MASHABIKI WA SIMBA ILIVYOKUWA BAADA YA ERASTO NYONI KUPIGA PENATI NA KUKOSA

Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3.