KIMEUMANA! THOBIAS KIFARU MSEMAJI MTIBWA USO KWA USO NA ZAKA ZAKAZI BAADA YA KIPIGO/WASIKIE HAPA by @Mpenja TV - Post Details

KIMEUMANA! THOBIAS KIFARU MSEMAJI MTIBWA USO KWA USO NA ZAKA ZAKAZI BAADA YA KIPIGO/WASIKIE HAPA

Baaada ya kutamatika mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati Azam Fc na Mtibwa Sugar na Azam Fc kuibuka na Ushindi wa Goli moja kwa bila lilifungwa na Idris Mbombo Mpenja Tv tukapata nafasi ya kuzungumza na Msemaji wa Klabu ya Mtibwa Sugar Thobias Kifaru na Msemaji wa Azam Fc Zakazakazi Fuatilia mahojiano yote hapa kujua alichoongea Thobias Kifaru na Zakazakazi #AzamFc #MtibwaSugar #AzamFcVsMtibwaSugar #LigikuuyaNBC

Similar Posts!